Adrian Loci - Mtaa (feat. Scar Mkadinali & B.A.D.Y)

Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoo zitoke saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machain zifuate saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Money the motivation hapa nje
Toka mtaa a hell of a ninja
Nimeleta rungu kwa rap, sitaki wajunior
Shida nimerun out of rubbers
Huku mtaa si hu lead by example
Pussy niggas huanga pia tuna sample
Cheza na mimi nakata kichwa
Nani anatesa nikate ?
Ka huleti keroma kwa meza usikae kudishi
Na hustle ni ka hamna kitu kwa dish
Lazima ni stack mabunda nifuate nivunje sheria haijalishi kitu
Hao makarau ndo mikono refu, mwizi akapewa bunduki
Ati hadi kijana ashafika 18 ashakuwa mwizi aisee
So mi najipanga lately naamkanga fiti nikimedi asubuhi Amen
Mbogi imeitana mi ntatokea quickly penye nia pana njia Amen
Mi hufinness design ya Odozze baby ka ni chain nimebeba za Mtaa
Mbona nikose pesa na naweza gamble zikikam nanunua hii mtaa, Loci
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoo usitoke saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machain zifuate saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu tuko njaa
Hakuna choice babu tunakuvaa
Unaforce sana unaburn
Mi and the whole Army iko kwangu incase unakam yah yah
Nlidunga macuffs G before nidungwe macufling
Kibera nimevaa sling mi tu ndo celeb Kenya anaweza panda mat D
Addicted to hustling mi huanga ngati keja siwekangi masti
Ngunga ndo huanga marashi ndo waninotice nikiingia kwa basi
Nina boyz ukipitia atakuwasha unavutishwa mabongo tuskizia mashash
Na usibonge ghasia takataka na mbona nkitokea wanaingia kwa vichaka
Si huvurugana na nguvu za giza napiga mbu rungu ka una swali uliza
Si humumunyanga wasupa kadaily anapigwa lugha anakuruka anarudi na mimba
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo madoo zitoke saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boyz wangu wa mtaa yah
Si hu freestyle palipo cash yah
Rusha dice na hizo machain zifuate saisai
Toka teke hao masanse wakifika
Wakizidi rudia
Mi na boys wangu dabo tatu
Tukifika Mtaa watu wanafyatu
Buda unapenda kulia na uko base Unakaa tu
We buda tulia utapigwa ma one two.
Vile mi na come through
Nafanya bado mi na undo.
Vile mi naburn dope nazoza venye mi na earn dough
Wananiita John Doe,sipatikani kwa mitambo
Ni Bady toka kitambo
Nawamurdernga tu Kama Rambo
Uhh
Na nahope mnanipata
Take your girl then I put her on a platter
Wacha vile mkisii ntaikata
Leo ni Mimi na makaka
Nina Madada na madawa
Nimekam nimecome na Hii power
Nimecome na Madoba Kama kawa sawa hii verse nshainawa

Written by:
Ombachi Kibeti

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Adrian Loci

View Profile