626 - Dear ex

Si uli nikataa
Uka ni choresha
Me nisha kusamee kusamee
Sasa mbona una ni fuata
Au kisa nime jipata

Me sitaki kua Na we
Kua Na wee
Me sitaki kua Na we
Kua Na wee
Me sitaki kua Na we
Kua Na wee
Me sitaki kua Na we
Kua Na wee Si uli nikataa
Uka ni choresha
Me nisha kusamee kusamee
Sasa mbona una ni fuata
Au kisa nime jipata

Ann yeh
Dear ex kusema kweli
Una Chaka ivi kweli
Una kosa ata nguo
Zaku vaa we si uli nikataa
Eti kisa sina chapa
Kwanza nili kuzingatia
Ila uka amua Ku danga
Kupata msosi Adi
Nijifanye mganga
Ni shike ma panga
Nyumba zaku panga
Ila Siku waza me nli kuzingatia
Niki kupia simu una ni Katia
Nikawa na lia
Kama mtoto nika data
Speed nika wasaha
Pesa kuzu saka
Sasa una nitaka
Pesa zina ni fuata
Pisi zina nitaka
Mena kula bata

Sasa mbona una jiliza
Remember that day
Nama bwana Zako
Mli nikimbiza
Me uli ni umiza
Nisha zipata
Me nakula bata
Pisi zina ni fuata
Vile navyo Waka
Zina data
Kula bata popopo
Ma popopopo

Si uli nikataa
Uka ni choresha
Me nisha kusamee kusamee
Sasa mbona una ni fuata
Au kisa nime jipata

Me sitaki kua Na we
Kua Na wee
Me sitaki kua Na we
Kua Na wee
Me sitaki kua Na we
Kua Na wee
Me sitaki kua Na we
Kua Na wee

Written by:
Imidi Useni

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find