Mulu Akili - Sisi.

Uwe mbali au karibu
Moyo wangu ulishageuza nyumbani
Hebu sasa nipe jibu
Japo bado naweza subiri
Twende wapi sisi?
Tuwe tu wawili
Mlango nauwacha wazi
Ila ukiingia funga basi
Maaana ni mimi na wewe
Hayo mengine hatujali
Maana ni mimi na wewe
Wengine tusiwape nafasi
Baby ni wewe
Darling ni wewe
Baby ni wewe
Darling ni wewe
Mengi unatarajia
Nami nang'ang'ania
Na ulivyonivumilia
I say,
Si kawaida
Mengi unatarajia
Nami nang'ang'ania
Na ulivyonivumilia
I say,
Si kawaida
Twende wapi sisi?
Tuwe tu wawili
Mlango uko wazi
Eh, ingia nyumbani
Twende wapi sisi?
Tuwe tu wawili
Mlango uko wazi
Eh, ingia nyumbani
Maaana ni mimi na wewe
Hayo mengine hatujali
Maana ni mimi na wewe
Wengine tusiwape nafasi
Baby ni wewe
Darling ni wewe
Baby ni wewe
Darling ni wewe
Hakuna
lakulinganishwa
Au kufananishwa na wewe
Hakuna
Linaloweza
Kututenganisha
Maaana ni mimi na wewe
Hayo mengine hatujali
Maana ni mimi na wewe
Wengine tusiwape nafasi
Baby ni wewe
Darling ni wewe
Baby ni wewe
Darling ni wewe

Written by:
Mulu Peace

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Mulu Akili

View Profile