Raz - YAMEPOTEA (feat. Almandrah)

mmmmh....
aaaaaaaaaah..
mmmmh.....
001 eiyoow Raz, Almadrah
Nimegundua siwezi kabaki mwenyewe..
Nimegundua siwezi kwishi bila wewe
Mi ni mwewe bila mbawa hilo haliwezekani.. Oyaweeeh
Yani kama hujui kinachoendeleaa
Umeniacha kama nipo segelea
Kama kunamakosa niliyafanya
Tungeongea tungeyamaliza mama..
Baridi linanitesa yani siishi kukuota aaaah
Kila nikijikokota labda nlilewa kimboka moyo unakataa eh
Amekimbia na baraka za bahati
Skuizi hata hela zenyewe sipati
Hata zile zakulenga kwa manati
Sipati hata bati najionea mikosi tu
Oooh mapenzii yamepotea
Hanipendi tena kasema nambooa ah
Oooh mapenzii yamepotea
Hanipendi tena kasema nambooa
Mmmh mmmmh onanananaaa aaah
Mwenzenu napenda kupendwa kupendwa nauwezo sina aah
Nyota yangu kutendwa kutendwa kilasiku nikukwamaa
Hata bado sjapona vidonda nawe umeniongezea tena
Nimeshindwa kukulinda aah imeshindikana mmh
Siku nyingi saanaaa siku nyingi sanaa
Bila weewe bila weewe ntawezaje
Oooh mapenzii aah yamepotea yamepotea
Hanipendi tena kasema nambooa hanitaki tena
Oooh mapenzii mapenzii yamepotea ona aah
Hanipendi tena kasema nambooa
Siku nyingi saana siku nyingi saana
Bila weewe bila weewe ntawezajeee....
Sbo


Written by:
RAMA SULTAN, RASHID LUNGOLE

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find