Willy Paul - #NYE (feat. Mejja)

Oh yoyo
Okwonnkwo oh
Pozee

Alisema kwake ni kama kwangu
Eti Pozze feel at home
Akasema bila mimi hawezi kufunction
Ni kama mdomo bila nyef eeh
Pia mimi alinishow hana mambo mob
Akajifanya holy jo
Niko na message kwa phone
Kumbe alichapwa na Kevo na Brayo

Baby punguza ma nye (Nye Nye)
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye, (Nye Nye)
Punguza ma nye
Punguza ma nye (Nye Nye)
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye, (Nye Nye)
Punguza ma nye (Punguza ma nye)

Huyu manzi ananibamba
Lakini ubaya anapenda kugaga-gawa
Naskia anadai wazee walisema
Miti ni dawa
Na mi alinshow penzi lake kwangu
Ni ya power
Yake pata potea
Kata ka stima Kenya Power
Ye hupost ndethe IG
Alafu anaandika caption moja deep
Wacha chocha
Toto anapenda manyundo
Nilidhani katoto, toto
Kumbe nadeal na ka po-Ko

Baby punguza ma nye (Nye Nye)
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye, (Nye Nye)
Punguza ma nye
Punguza ma nye (Nye Nye)
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye, (Nye Nye)
Punguza ma nye (Punguza ma nyege)

Katoto kanapenda ngwati
Ngwati, ngwati eeh
Katoto kanapenda ngwati
Eeeh
Kukupiga busu ni ka kukiss esto
Hizi lips nitaziosha na dettol
Nilidhani you are humble and loyal
Kumbe kazi yako ni kugurumisha freno
Nilidhani mi hukulima vifiti
Kumbe kuna mwingine hukupiga miti
Mmmmh we ni wa kamati
Unalimwa na kamati

Baby punguza ma nye (Nye Nye)
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye, (Nye Nye)
Punguza ma nye
Punguza ma nye (Nye Nye)
Punguza ma nye (Ata mamangu hakutaki)
Baby punguza ma nye, (Nye Nye)
Punguza ma nye (Punguza ma nyege)

Written by:

Publisher:
Lyrics © TUNECORE INC

Lyrics powered by Lyric Find

Willy Paul

Willy Paul

View Profile