DALA KING - NITUNZIE

Mashaalha kwangu nakuona kama zare
Hewala hiki kiwanja changu kitawale
Mapenzi chini kapeti tandaze kwa siti we kaa chini utulie
Tena nikupeti peti upate vibisikuti na vijuisi ushushie

Tucheze kiutani kiutani,ile michezo ya ficha ndani
Nikikupa burudani burudani ukinanga nanga kifuani

Tena na sheshe lako fire [Fire] kesho usije nitalaya
Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi
We ndie ua langu la waridi
Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi
We ndie ua langu la waridi

Nitunzie aah moyo wangu mie
Nitunzie aah moyo wangu mama
Nitunzie aah moyo wangu mie
Nitunzie mmhh!
Nitunzie nasema moyo wangu mie
Nitunzie aah moyo wangu mama
Nitunzie aah moyo wangu mie
Nitunzie moyo wangu eehh
Tusicheze ya gololi,micheo ya daboli itatukoraga sana
Tukichunguzana tik tok,facebook,twitter,insta tutavurugana
Wale wanoko noko
Komesha komesha
Vidomo chungu koko
Komesha komesha
Watatuona soko soko
Komesha komesha, aaaiiiee!

Yani mtoto uko gudi, tena gidi unavyojitawanya kama moshi wa mawidi
Yani mwendo nyekenyeke,nyuma na mbe unavyojitawanya kama moshi wa mawidi

Tena na sheshe lako fire [fire] kesho usije nitalaya
Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi
We ndie ua langu la waridi
Usinipage mapenzi yakazidi,ukiondoka utaniacha na baridi
We ndie ua langu la waridi

Nitunzie aah moyo wangu mie
Nitunzie aah moyo wangu mama
Nitunzie aah moyo wangu mie
Nitunzie mmhh!
Nitunzie nasema moyo wangu mie
Nitunzie aah moyo wangu mama
Nitunzie aah moyo wangu mie
Nitunzie moyo wangu eehh

Nitunzie, nitunzie
Nitunzie, nitunzie

Written by:
MATANO MRAMBA

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

DALA KING

View Profile