DALA KING - HAYA (feat. ADASA)
Hayaa haya,,naondoka nimechoka
Hayaa haya,,maneno yako hayaishi kinywani
Hayaa haya,,wewe me na wewe nimechoka
Hayaa haya
Sema kipi nilicho kosea,au siridhiki na nnacho pewa
Kilema ambacho umenipa nisione tena mdomo ushindwe kuongea
Kile kidogo changu,hali yangu vyote nlikwambia
Usinishushe thamani,mahabani donda nkaugulia
Ooh! Bebi,kama usiku wa jana kukesha kulumbana
Ya nini jamani,eeh
Penzi ni kupendana sio kugombana
Kwa nini jamani,wewee
Hayaa haya,,naondoka nimechoka
Hayaa haya,,maneno yako hayaishi kinywani
Hayaa haya,,wewe me na wewe nimechoka
Hayaa haya
Kweli we unanipenda kikweli,mana lawama hasiishi ni daily
Oohh baba wewe,utanishinda miiee
Kila kukicha vurugu siwezi,mie mbichi utanichubua ngozi
Oohh baba wewe,utanishinda miiee
Mbona,mbona mie mpweke kwenye ndoa yangu
Lawama,lawama ndo mishale kwenye moyo wangu wowowo!
Utaniua bure,me ni mke wa sheihk
Najisitiri,na heshima ya mjini
Nina damu ya mpare,kujitii ni halalii
Najisitirii na heshima ya mjinii
Hayaa haya,,naondoka nimechoka
Hayaa haya,,maneno yako hayaishi kinywani
Hayaa haya,,wewe me na wewe nimechoka
Hayaa haya
Hayaa haya,hayaa haya
Written by:
MATANO MRAMBA
Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics powered by Lyric Find