DALA KING - SHAURI YAKO

Bebi amepiga simu anataka yakutolea
Na kwangu atatia timu nitume bila kuchelewa
Hataki ghetto,hataki nyumba ya kupanga
Mombasa joto,kilifi hakuna kiwanja
Anataka wababa miiee sitoshi haba
Ujaze kibaba futi sita kwa saba

Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo
Hapa mjini shauri yako,eehh dezo
Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo
Hapa mjini shauri yako,eehh eehh dezo
Hapa mjini shauri yako,

Anataka mali,anataka gari lakifahari kozi ye pisi kali
We taka vyote kwa vyote we bora tu udange
Akupeleke kokote matopeni kwa mpalange

Madada wa mjini mnatuaibisha kifo cha mende chini
Mababu kijibebisha
Wana umeme stima,wana umeme stima
Wana umeme stima,wana umeme stima
Piga makofi,piga makofi,piga makofi
Kama pisi kali,jemedari,
Piga makofi,piga makofi,piga makofi
Kama pisi kali,we welijali

Anataka wababa miiee sitoshi haba
Ujaze kibaba futi sita kwa saba

Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo
Hapa mjini shauri yako,eehh dezo
Hapa mjini shauri yako,ukitaka vya dezo
Hapa mjini shauri yako,eehh eehh dezo
Hapa mjini shauri yako,

Zungusha uno kunja dera,aahh wuee mamaa
Kata uno ka una chura,aahh wuee mamaa
Zungusha uno kunja dera,mame mame mame
Kata uno ka una chura,aahh wuee mamaa

Zungusha uno kunja dera,kata uno ka una chura
Zungusha uno kunja dera,kata uno ka una chura

Written by:
MATANO MRAMBA

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

DALA KING

View Profile