DALA KING - MIMI NAWEWE
Nilisemwa mambo mengi yakuchafua ubongo
Ili mimi kwako nionekane muongo
Eti nikitoka tunapishana,nyuma marafiki zako ni wavulana
Mara wanasema hatujaendana,mimi nakuona kama dodo
Tena moyoni nishakupenda unajuwa,kichwani hayawani ukinitenda ntajiua
Kwenye mvua kiangazi twapendezana,we ndo pacha tulio fanana
Naamini hatuto tengana hayeee!
Yanitume bana bana kama banana,leo yamezidi hata ya jana
Kwa mapenzi teletele usiku na mchana,sasa kwa nini wanizengue eehh!
Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua
Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua
Mimi na we,mimi na we
Mimi na we,mimi na we
Mimi na we,mimi na we
Mimi na we,mimi na wewe
Yani wewe ndo changu kivulii,tena wewe ndo wangu mwavuli
Kwenye mvua kali me unanisitiri unanisitiri
Na kama we ndo gari basi me ndo msafiri msafiri
Sasa tujitawanye anha!
Ikibidi tuwachanganye anha!
Mambo shwari yani ndo vyenye anha!
Kila boda sisi tupenye anha!
Kwenye mvua kiangazi twapendezana,we ndo pacha tulio fanana
Naamini hatuto tengana hayeee!
Yanitume bana bana kama banana,leo yamezidi hata ya jana
Kwa mapenzi teletele usiku na mchana,sasa kwa nini wanizengue eehh!
Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua
Kwanza leo tunatanua tanua tunatanua
Mimi na we,mimi na we
Mimi na we,mimi na we
Mimi na we,mimi na we
Mimi na we,mimi na wewe
Written by:
MATANO MRAMBA
Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics powered by Lyric Find