Hanta The Samurai - Against The Odds

Yooww
Sijui ka nyi mmenotice vile time inaenda faster
Na dunia in chaos, kila corner kuna disaster
Tuko depressed ju ya pesa, ju ndio happiness tuko after
Na imebaki tu kwa memes ndio place tunapata laughter
In other news, as you complain, remember the fact that
Kuna watu wako jobless, na wana degree na masters
Kuna bibi ya mshirika anatongozwa na Pastor
Kuna Mtoto wa shule alishika mimba ya headmaster
Kuna vijana warasta waliuliwa kwa kushukiwa kuwa magangsters
Na kesi haijawahi kuwa solved, bado wazazi wangoja answers
In short, there's no justice, it's just us
Waliotupea a chest to lean on, sai wamegeuka kuwa cactus
Mhubiri alisema, kwamba mungu huwa hachelewi
Lakini vitu zinahappen, hata mi mwenyewe sielewi
Kuomba tunaomba sana, ni ka kuna jibu hatupewi
Sijui ni nini hatufanyi ama ni wapi tunafeli
Tumkimbilie nani, ndugu zangu niambieni?
Maisha inatupea Dilemma kushinda ya Kelly na Nelly
Mpaka inahuzunisha kuwatch news kwenye telly...mazee!
Watu na mifugo in some parts wanakufa daily
Ju ya crisis or lack of something to put in their bellies
Na viongozi wao wamejaza scandals ka R.kelly
I think its time as Kenyans tuambiane ukweli
Siku hizi hakuna hata viongozi, tumebaki na matapeli
Yo!

I feel 2pac, still I see no changes
We're physically free, mentally we're trapped in cages
For ages, working like slaves for minimum wages
Yet the rich and the poor bado wako on different pages.
Tunaishi kwa society where the vices are embraced, and virtues are rejected
Where the rich are very protected, and the poor are still neglected
If you're poor you get subjected, your opinion don't get respected
Where you cannot get it fairly unless you're well connected
Where this greedy politicians bado wanaget re-elected
The more tunavote, the more tunablunder
And It's a shame vile ufisadi kwa hii nchi umetanda...itabidi mkae rada!
Cause' After 5yrs za kuiba, kukula na kuuza sura
Bila aibu Mwanasiasa atarudi tena akiomba kura
Akidai 'nitajenga barabara, nitawajengea shule
Nitaboresha huduma ya afya na pia elimu ya bure'
Nonsense!

We pledge ourselves, to liberate all our people
From the continuous bondage of poverty, gender and other discrimination
We commit ourselves to the construction of a complete, just and lasting peace.
A time for the healing of the wounds has come!

Written by:
John Njagi

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Hanta The Samurai

View Profile