Size8 and Willy Paul - Tam Tam (Remix)

Willy Willy Willy (Willy Paul Msafi)

Number Nane Nane (Size 8)



Mm... Alemba Aliamua Oh, Oh, Aliamua,

Dj Mo Akaamua Au ah, ah (Teddy B)

Dj Mo Umemupa Ni Wake, Number Nane. Size 8,

Krowbar Ukampa Niwake Nana, Nana, Joy...

Gloria Muliro Ukampa Ni Wake, Pastor Omba Eeh.

Soxxy ukampa ni Wake akamficha eh...

Dj Moz, ukampa... Eh mzungu ah eh.

Na mi nashindwa, wangu willy ni nani, eeeh,

Ama Mubukusu, Mubukusu aaahhh,

Sijui kama yellow ama brownskin,

Number nane nieleze kweli nimeshindwa,



Unataka mke mwema,

Ni nani atanipa,

Heh! unataka mke mwema, Oh ni Mungu atakupa wewe,

Nafaham mapenzi kitam tam tam tam tena sana, (tam

tena sana)

Unafaham mapenzi kitamu...

Kitamu... kitamu sio utani,

Kitamu... kitamu sio utani, aah,

Tam Tam Tam, Tam Tam Tam, ,

Tam Tam Tam, Tam Tam Tam, ,



Juzi nilikuona na kabinti eh,

Hakunipendeza eh,

Vazi lake no,

Willy no,



Nieleze siri ya mapenzi dada,

Nieleze siri ya mapenzi, number nane



Oh Willy wewe Willy,

Usitafute wawili,

Muombe mwenyezi,

Usijitie kitanzi,

Oooh, ukisahau mwenyezi,

Utajipiga mateke,

Utajipiga mateke,



Unataka mke mwema,

Ni nani atanipa,

Heh! unataka mke mwema,

Oh ni Mungu atakupa wewe,



Nafaham mapenzi kitam tam tam tam tena sana, (Tam

tena sana)

Unafaham mapenzi kitamu...

Kitamu... kitamu sio utani,

Kitamu... kitamu sio utani, aah,

Tam Tam Tam, Tam Tam Tam, ,

Tam Tam Tam Tam

Tam Tam Tam Tam



Kweli nimekubali Jehovah ndiye wakupeana mke mwema,

Mke mwema ah, ah, ah, ah, mke mwema ah,

Mmm, Emmy naye, mnaija,

Uhuru naye, Maggie, Maggie,

Raila naye, Ida Ida,

Kalonzo Musyoka, hatujui,

Bishop Kiuna, Kathy,

Pastor Lai

Na mimi naye wangu ni nani

Ni nani



Unataka mke mwema, ni nani atanipa,

Heh! unataka mke mwema, Oh ni Mungu atakupa wewe,

Nafaham mapenzi kitam tam tam tam tena sana, (Tam

tena sana)

Unafaham mapenzi kitamu...

Kitamu... kitamu sio utani,

Kitamu... kitamu sio utani, aah,

Tam tam tam, tam tam tam, ,

Tam tam tam tam

Tam tam tam, tam tam tam, ,

Tam tam tam tam

Tam tam tam tam

Tam tam tam tam

Tam tam tam tam

Written by:
Michel Polnareff, Jean Paul Benchetrit

Publisher:
Lyrics © BMG RIGHTS MANAGEMENT (FRANCE), BMG Rights Management, EMI MUSIC PUBLISHING FRANCE, Sony/ATV Music Publishing LLC

Lyrics powered by Lyric Find

Size8 and Willy Paul

View Profile