Tinah Celestine - yesu wa msalaba

Yesu wa msalaba
Yesu wa Msalaba
Ndiye ninaye muimbia

Alikataliwa ili nikubalike
Alidharauliwa ili niheshimike
Kafanyika laana ili nibarikiwe
Na kwa mapigo yake mimi
Nimepona

Yesu wa msalaba
Yesu wa Msalaba
Ndiye ninaye muimbia

Aliposema yote yamekwisha
Maana yake nimewekwa huru
Aliposema yote yamekwisha
Laana zote zimeshavunjika
Aliposema yote yamekwisha
Maana yake nimegangwa Moyo

Yesu wa msalaba
Yesu wa Msalaba
Ndiye ninaye muimbia

Sitochoka kumwabudu
Sitochoka kumsifu
Deni yangu msalabani
Dhibitisho anipenda

Written by:
celestine Justus

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Tinah Celestine

View Profile