Silencer Boy - Neria

Mapenzi ni kama chupa ya Chai
Ikivunjika ndo basi
Ukimpata anaekupendeza
Basi hebu relax
Mapenzi ya sasa kama sayari
Yanazunguka hayapotezi majira
Yaani hata umiriki Gari
Ama uwe mzuri sana kisura
Kuzaliwa duniani
We ujue
Kila kitu kwako
Itakuwa ni tabu
Naogopa (naogopa)
Mwenzenu Naogopa (naogopa)
Naogopa (eiyeeee )
Naogopa
Neria
Neria ooh
Zaole moyo kaneria
Mwaria niwe ooh
Zaole moyo kaneria
Mwaria niwe
Mwaria niwe Neria
Mwaria niwe
Mwaria niwe Neria
Mwaria niwe
Neria aah
Nasikia kuna grade one grade two
Ukiwa number one jua kuna number two
Yanajua kuliza utasema kitunguu
Mapenzi (iiih )
Yale ya dhati yamekufa yamebaki majivu yanatusumbua
Mapenzi gana ya kweli yasokuwa na wivu kama uwanja wa fisi
Siku hizi pika pakua ukichoka panda mashua yamekosa ndoa
Na yapo kama biashara
Wana bargain utasema nyama za kuku
Naogopa (naogopa)
Mwenzenu naogopa (naogopa)
Naogopa eiyeeee
Naogopa
Neria
Neria ooh
Zaole moyo kaneria
Mwaria niweee ooh
Zaole moyo kaneria
Mwaria niweee
Mwaria niwe Neria
Mwaria niwe
Mwaria niwe Neria
Mwaria niwe

Written by:
Silencer Boy

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Silencer Boy

View Profile