Rapcha - Ulivyo

Yeah


Shytown


Nachizika ulivyo mzuri hivyo

Mzuri hivyo mzuri hivyo

Nachizika ulivyo mzuri hivyo

Mzuri hivyo mzuri hivyo


Verse 1 : Rapcha

Tulikutana pitia mutual friend

Nikawa nawaza we na yeye mnaeza kuwa wapenzi

Na sikuacha kumuuliza kama anaaminia

Akanambia he is not into you

Ikapita miezi miezi namba yako nimeisave dear

Ila sikuweza kutext au kukupigia

But one day nika play hard nikashoot hey wassup?

Kesho yake tuka-link up

Chorus: Rapcha

Ulivyo mzuri ivo

Nakupenda ulivyo mzuri ivo

Yani since long time nazimika ulivyo mzuri ivo

Ona ulivyo mzuri ivyo

Oh no no no no

Ulivyo mzuri ivo

Nakupenda ulivyo mzuri ivo

Yani since long time nazimika ulivyo mzuri ivo

Ona ulivyo mzuri ivyo

Oh no no no no

Nachizika ulivyo mzuri hivyo

Mzuri hivyo mzuri hivyo

Nachizika ulivyo ulivyo mzuri hivyo

Mzuri hivyo mzuri hivyo


Verse 2 : Rapcha

Tulipo link up ndo nilianza kuhisi tu ka uko ready

Back seat tunashikana mpaka ghetto then we

Light it up smoke some n'kadondosha playlist

Baada ya kula kisses tu nguo zikatoka kwenye bed

You said no no no bila condom maybe

Nenda tu kazifate dukani kwanza and i said shiiiit

Chafu yangu kanidakia fasta nikarudi room

Then tukaplay album ya kwanza ya snoop

Chorus: Rapcha

Ulivyo mzuri ivo

Nakupenda ulivyo mzuri ivo

Yani since long time nazimika ulivyo mzuri ivo

Oh na ulivyo mzuri ivyo

Oh no no no no

Ulivyo mzuri ivo

Nakupenda ulivyo mzuri ivo

Yani since long time nazimika ulivyo mzuri ivo

Oh na ulivyo mzuri ivyo

Oh no no no no


Nachizika ulivyo ulivyo mzuri hivyo

Mzuri hivyo mzuri hivyo

Nachizika ulivyo ulivyo mzuri hivyo

Mzuri hivyo mzuri hivyo



Last king of 90's baby

Written by:
Cosmas Paul Mfoy

Publisher:
Lyrics © Sony/ATV Music Publishing LLC

Lyrics powered by Lyric Find

Rapcha

View Profile