Tinah Celestine - ALIYEAHIDI

Aliyeahidi ni mwaminifu
Atatimiza kwa wakati wake
Akiahidi yeye si mwanadamu
Atatimiza kwa wakati wake

Akisema anatenda akiahidi Anatimiza
Ahadi zake ni ndio na amina
Agano lake ni la milele

Aliahidi Sara mtoto myaka Ikapita umri ukasonga
Baadaye uzeeni wake akampa Mtoto isaka

Haji mapema wala hachelewi
Atatimiza kwa wakati wake
Ahadi zake ni ndio na kweli
Atatimiza kwa wakati wake
Majira yake sio Kama yetu
Atatimiza kwa wakati wake
Ni mwaminifu ni mwaminifu
Atatimiza kwa wakati wake

Mwaminifu ooh
Mkamilifu ooh
Mtimiza ahadi ahadi oooh

Written by:
celestine Justus

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Tinah Celestine

View Profile