Silencer Boy - Nakukumbuka

Yale maneno ya wahenga
Yamekua kitendawili
Oh tega nikutege
Tamu imegeuka shubili
Kila nikicheki kalenda
Huwa najiuliza maswali
Zile baby nakupenda
Leo zimefika tamati
Kweli mapenzi hayana ujuzi
Hayana ukamanda
Aaaaah
Kwake nilidhani nimefika
Leo kanigeuza goroka
Yamenifanya tena sina mood
Wala sina ujanja
Aaah
Kupenda tena sidhani
Mana kani nyong'onyesha
Kunamuda ninazuga nina furaha
Ukiniona usoni
Utasema naraha
Ila sungura amekula mbivu zangu
Nafunga kitabu cha upendo
Sipingi kweli nishawahi kupenda
Ila sijui raha ya tendo
Barabara ya wakubwa siwezi
Bora gari niiweke kando
Ipite kwanza miaka na miezi
Sitaki hata mpango wa kando
Mmhhh
Nakukumbuka
Picha yako usoni
Inajirudia
Japo bado
Nakukumbuka
Picha yako usoni
Inajirudia
Japo bado
Nakukumbuka
Bado bado
Picha yako usoni
Inajirudia
Japo bado
Kama chakula kime chacha
Kulika haiwezekani
Gari imeisha mafuta
Safari haipatikani
Moyo umejaza mazito
Yalonikuta chumbani
History za makumbusho
Leo anatoka nafulani
Moyo ungekuaga kidonda ningeutibu
Aaaaa
Yananifanya nakonda haya maumivu
Aaaaa
Maumivu ooh
Mwenzenu nakonda
Ila sungura amekula mbivu zangu
Nafunga kitabu cha upendo
Sipingi kweli nishawahi kupenda
Ila sijui raha ya tendo
Barabara ya wakubwa siwezi
Bora gari niiweke kando
Ipite kwanza miaka na miezi
Sitaki hata mpango wa kando
Mhhhmhhh
Nakukumbuka
Picha yako usoni
Inajirudia
Japo bado
Nakukumbuka
Picha yako usoni
Inajirudia
Japo bado
Nakukumbuka
Bado bado
Picha yako usoni
Inajirudia
Japo bado

Written by:
Silencer Boy

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Silencer Boy

View Profile