Vii Sugar Boy - Wapi

Yeiyee yeeh
Nana
Nimezunguka
Mbona kila kona
Mashariki magharibi kote
Mrembo kama wewe
Sijamuona
Yeeeh yeeeh
Nimefurahi leo tupo wote
Ukicheka nataka nicheke
Na wewe
Nataka nicheke nawe
Ukilia nikubembeleze
Yeiyeeeh
Umeshaniwekea kipimo
Cha mapenzi nimevuka
Na kukupenda wewe
Siwezi kupunguza
Najua wanatamani
Kuona wewe
Ukinitupa
Kukupenda wewe
Ndio naongeza
Yeiyeee yeeeh
Wapi nitampata kama wewe
Wapi nitampenda me
Wapi nitapendwa kama hivi
Ouhoooh
Wapi nitampata kama wewe
Wapi nitampenda me
Wapi nitapendwa kama hivi
Yeiyee yeeeh
Wewe unanimaliza
Nataka nicheke nawe
Wewe unanimaliza
Nataka nicheke nawe
Wewe unanimaliza
Nataka nicheke nawe
Wewe unanimaliza
Nataka nicheke nawe
Wewe unanimaliza
Nataka nicheke nawe

Written by:
Said Kakombe

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Vii Sugar Boy

View Profile
VII SUGAR BOY, Vol. 01 - EP VII SUGAR BOY, Vol. 01 - EP