Vii Sugar Boy - Sema

Njoo kwangu
Nikupe mapenzi
Ili upagawe
Ili upagawe
Me ni kolo
Kwako zaidi ya ndezi
Mjanja wangu we
Mjanja wangu we
Usiwafate wenye dola
Ukanitia kapuni
Nipende leo sina dola
Kesho nikupe kampuni
Isiwe kisa cash
Na wakina desh
Ukaniona sifai
Baby
Fai baby
Isiwe cash
Penzi ukakopesha
Haifai baby
Yeeee ye
Unapendaga nini toto
Sema tu sema tu
Chochote sema tu
Chochote
Unapendaga nini toto
Sema tu sema tu
Chochote sema tu
Chochote
Oooh she got her eyes…
You raise my body's temperature
You raise my body's temperature
I wanna be the one
African number one baby ooh
Nishachagua wimbo
Kwa redio
Special for you
For you
Baby
Nisipokuona kwangu kilio
Yani mwenzako
Moyo unaenda mbio
Crazy over you
Over you baby
Aaah belinda
Nishakupenda
Wangu moyo umelala
Kwenye moyo wako
Ooooh belinda wengi wanachonga
Ruksa wanione fala
Juu ya penzi
Isiwe kisa cash
Na wakina desh
Ukaniona sifai
Baby
Fai baby
Isiwe cash
Penzi ukakopesha
Haifai baby
Yee ye
Unapendaga nini toto
Sema tu sema tu
Chochote sema tu
Chochote
Oooh she got her eyes…
You raise my body's temperature
You raise my body's temperature
I wanna be the one
Producer P on the beat
Wewee!

Written by:
Said Kakombe

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Vii Sugar Boy

View Profile
VII SUGAR BOY, Vol. 01 - EP VII SUGAR BOY, Vol. 01 - EP