Vii Sugar Boy - No Body (Single)

Nitakosa vyote vya dunia
Ila sio wewe
Kufunga ndoa nawe yangu nia
Naomba nielewe
Kuna milima mito mafuriko
Ila usijali mpenzi ulipo nipo
Usihofu shida kwetu ni mapito
Ooooh oooh
Wabaya tuwashushe njiani
Maneno yao ya kazi gani
Wanapenda kuzusha ya zamani
Hawapendi tuishi kwa amani
Wanataka nikukose unitose
We don't care
Na watuache tupendane
Usinitose tuwe wote
Me na we
Na watuache tupendane
Cause I don't see nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
And I don't need nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
Girl I don't see nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
And I don't need nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
You are the one that i want girl
Sio kwamba me msafi sana
Kuna vitu nakuboa
Ulisafisha penzi nilipolitia madoa
My cinderella wewe ndio unaenijua
Kuna watu hawaamini kama tunafunga ndoa
Nitampata wapi kama wewe
Anivumilie kama wewe
Awe mrembo kama wewe
I don't see nobody
Nitampata wapi kama wewe
Anivumilie kama wewe
Anipe mapenzi kama wewe
I don't see nobody
Wanataka nikukose unitose
We don't care
Na watuache tupendane
Usinitose tuwe wote
Me na we
Na watuache tupendane
Cause I don't see nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
And I don't need nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
Girl I don't see nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
And I don't need nobody
Nakuona wewe ulivyopendeza
You are the one that i want girl
Nakuhitaji forever
Yani forever
I need you forever
Nawe forever

Written by:
Said Kakombe

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Vii Sugar Boy

View Profile