Silencer Boy - Ongeza (feat. Dully Sykes)

Hivi umeniroga
Mapenzi yako yamenikoroga
Nakukomba kama mboga
Sielewi ooh baby
Tena mpe sifa mganga wako
Ameniweza kwa dawa
Mwambie sijiwezi mi juu yako
Kabisa nimepagawa
Walewale walewale wale watu wa zamani aah
Walifanya mambo mengi ila umewazidi funny
Mimi huyo
Yamenifanya kitu gani mapenzi
Mimi huyo
Mana niko radhi kudanganya kwa mwenyezi
Mimi huyo
Kila siki zinavyokwenda sijiwezi
Mimi huyo
Hakili yangu na mwili wangu vyaishiwa nguvu
Jua furaha ya mapenzi nimeijua kwako
Basi ongeza
Dawa zako ongeza
Basi ongeza kidogo
Nizidishe mikogo
Ooh baby ongeza
Dawa zako ongeza
Basi ongeza kidogo
Nizidishe mikogo
Oooh nana nana kanijoooh
Mganga wako anaitwa nani mi nataka kumjua
Kwa maana hapa kichwani ni mazonge
Hakuna kitu natambua
Nakubeba nakuweka ndani
Napinda chuma kwa ubuwa
Hata kama wakisema wacha wachonge
Hakuna kitu wanajua
Nikikupa pipi wanipa chocolate
Unanipaga raha mama
Nikikuita sweet unanipetipeti
Nakuwaga kichaa mama
Ukigeuka left and right nakuzagamua
Nakula nyama kibabe nakuzagamua
Tumetulia zetu site nakuzagamua
Nananana
Left and right nakuzagamua
Nakula nyama kibabe nakuzagamua
Tumetulia site nakuzagamua 
Nanana
Basi ongeza
Dawa zako ongeza
Basi ongeza kidogo
Nizidishe mikogo
Ooh baby ongeza
Dawa zako ongeza
Basi ongeza kidogo
Nizidishe mikogo
Mapenzi yanaujuzi naujuzi unaujua wewe
Huwezi leta upuuzi na upuuzi wataufanya wale
Mapenzi yanaujuzi naujuzi unaujua wewe
Eeh yeah aah

Written by:
Dully Sykes, Silencer Boy

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Silencer Boy

View Profile