Silencer Boy - Shida

Shida eehh eeh
Shida mola tusaidia waaja wako
Shida hatuna mwingine tegemezi wewe
Shida
Ooh shida hauchagui sura wala kabila
Ooh shida unafanya masikini twadhalilika
Asubuhi mapema ngongongo amekuja baba mwenye pango
Anataka kodi ya nyumba shida ooh oooh
Ooh shida unawadhalilisha sana uswahilini
Ooh shida hata wale marafiki wenzangu na mimi
Ooh shida shida unasafiri yoyoyo
Ooh shida mbona wanitenganisha maini na moyo
Shida shida ooh shida
Shida
Unafanya wengine wanatembea peku shida
Wengine hawana pakulala wapo injee
Shida makonda wa daladala wapo busy shida

Wengine wapo bar wanakunywa pombe kupunguza mawazo
Sababu ya shida ndiyo chanzo
Wengine kwa waganga officini mambo hayaendi
Sababu ya shida ndiyo chanzo
Wanadiriki kukaba wapate chochote watie mdomoni
Sababu ya shida zinawakabili
Wanaungaunga kibaba wapate kidogo cha kulamba
Sababu ya shida wowowo shida aaeeh
Wengine usawa unakaba hawana mama na wala baba
Sababu ya shida wowo shidaaa

Ooh shida unawadhalilisha sana uswahilini
Ooh shida hata wale marafiki wenzangu na mimi
Ooh shida shida unasafiri yoyoyo
Ooh shida mbona wanitenganisha maini na moyo
Shida shida ooh shida Shida
Wakinole Ezze minanda shida
Falsam na Donce wa mikito shida
Ananias king boss boss shida
Ooh na Paulo mzee wakilimo shida
Fikiri Fikiri unachakalika shida

Ooh shida shidaaa shida ooooh
Mama yangu shida Wanansemeni shidaaa
Shida hazina ratiba shida shida oooh
Hazina muda wala saaa wala dakika

Written by:
Silencer Boy

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Silencer Boy

View Profile