PASCALITO SH - Ni kwa neema

Ni kwa neema yako
Sisi tunaimbaa
Kulala na kuamkaa
Ni kwa uwezo wako yesu
Neema yako
Asante yesu
Ahmmmhhh yesu tchilobo
Ni kwa neema yako sisi tunaimba
Kwa neema yako sisi ni wazimaah
Kwa neema yako tumekubaliwaa
Na wewe
Kwa neema yako umetufanya wazima
Aah bwana tuseme nini
Umetuonyesha yale tusio yajuwa
Umetutendea yale yanayo tushangazaa eehhh bwana
Paulo anasema si mimi ninaishi tena
Bali ni yeye ndani yangu uh
Yale ninayo yaona kuwa ya faida kwangu
Kwa sasa yote nina ya hesabu kuwa
Ayana faida
Ni bwana anasema
Bwana ananiongoza ah
Kando ya maji matulivu
Kwenye majini mabichi
Bwana unilazaa eeehhh
Ni kwa neema yako mimi tunaishii
Unituhumba kwa mfano wako oh
Ukanifanya nikutumikie baba ah
Aahh yote ni kwa neema yako
Isingelikuwa wewe baba
Mimi leo ningekuwa wapi
Aahhm ni kwa neemaa
Ni kwa neema yako sisi tunaimba
Kwa neema yako sisi ni wazimaah
Kwa neema yako tumekubaliwaa
Na wewe
Kwa neema yako umetufanya wazima
Aah bwana tuseme nini
Umetuonyesha yale tusio yajuwa
Umetutendea yale yanayo tushangazaa eehhh bwana
Nilikuwa nimepotea mimi ihhh
Ukanitafuta ukaniketisha na wafalme
Ukanitafuta ukaniketisha na wakuu
Yalio kuwa maguu umeyaraisisha ah
Yalio kuwa siri umenifunuliya
Bado neema nimepata kwa bure eh
Eehh bwanaa niseme nini
Aaahhhhhm ni kwa neemaa
Ni kwa neema yako sisi tunaimba
Eeeeehhhhh eeehhhhhee
Kwa neema yako sisi ni wazimaah
Kwa neema yako tumekubaliwaa
Na wewe
Kwa neema yako umetufanya wazima
Aah bwana tuseme nini
Aaah umetuonyeshaa aah
Umetuonyesha yale tusio yajuwa
Umetutendea yale yanayo tushangazaa eehhh bwana
Kwa neeeeemaa aahh
Eeeeeehhhh ni kwa neeema
Ni kwa neema yako sisi tunaimba
Kwa neema yako sisi ni wazimaah
Kwa neema yako tumekubaliwaa
Na wewe
Kwa neema yako umetufanya wazima
Aah bwana tuseme nini
Umetuonyesha yale tusio yajuwa
Umetutendea yale yanayo tushangazaa eehhh bwana
Ooohhhhhhhhhh
Eza pona ngolu nayo nde tozo yemba
Eza pona ngolu nayo nde tozo bina
Ooohh ngoluuuuh
Biso kolali pe kolamuki
Eza pona ngolu nayo
Eeeehh keba
Eza rumba ya bana nzambe

Written by:
Pascal Patrice

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

PASCALITO SH

View Profile