Sambo mtambo - Uhai

Weuwee haha live 24/7 sambo
Nikikumbuka nilipo toka sometimes nafurahi
Many times kwenye kiza
Nilimuuliza mwenye uhai
Hii zawadi alio nipa
Ananilinda niwe hai
Ananichunga kifaranga ninae windwa na tai
Nahisi ananidai
Sauti ya ibirisi haifai
Inanishawishi ni hasi maandishi why
Life nalicheza kama puzzle
Ama mpira unavyo pita mbele ya walinda mlango
That's sambo! Life imenifanya niwe humble
Nina ndoto, ndoto yangu sherehe kwako
Mziki wangu hope kwako
Nipo live 24/7
Am learning how to survive
Till I reach heaven
Maisha ni ubishi
Ubishi unafanya mambo yaende
My time is now, street inabidi nieleweke

Toba husaulisha Majuto yamkosaji
Uoga usahaulisha mafunzo ya mfamaji
Nakuomba mpaaji
Zidisha kipaji kiwe ngaaazi
Wauni hatuna kazi wazazi watakula waaapi?
Sina ramani nasonga kibampani
Ombaomba leo sina
Napiga ngondi nyumbani
Suti kubwa na miwani
Mi mwenyewe naunga unga
Sijui nimuombe naaani aah
Napiga mbizi nitazama nikisizi
Nikitazama sioni ukingo
Nazidi kupigwa wimbi
Naogelea na sifiki, Meli hazi piti
Najiachia kuelea siri ya ushindi
Changamoto ni mafunzo, Nahitaji kuhitim
Ata nikikosa kivuko,nitavuka kuifata dream
Moyoni nina makubwa, hayatoshi kwenye screen
I wanna fly half angle,mgongoni sina wings

Yeah yeah live 24/7 weuwee ahahah!

Mtaani kwetu police na sadali ni ndugu
Wanangu ghetto hawalali,usiku wanga vurugu
Panga virungu, majanga mitutu
Sandals ni buku
Ukiiba ukishikwa cha kwanza unafanywa bubu
Alichinjwa!
Mama akavunjika kwa uchungu
Alilia aki muangalia yule mtoto mtundu
Hizi hisia nitashindwa kuzimudu
Ukisikia mwizi analia jua mtoto wa Mungu
Yule mwizi mi ni mzinzi
Aliye ibiwa ni muuwaji
Kama ku hukumu ni mawe
Nawe lusha ukiwa msafi
Mitaa imepofuka imetingwa na ubinafsi
Nyumbani kuna wakubwa
Ila kusema hawataki
Vina, vikinimwagika
Vina, Vina badirisha
Vina, Vina elimisha
Vina, Vina ujumbe uliofichwa Vina!

Written by:
Sambo Luhanga

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Sambo mtambo

View Profile