Jean Ngoyi - Hakuna Wakufanana Na Yesu (feat. Wind of Worship)

Nimetembeya Mahali Pote
Kutafuta Aliye Kama Wewe
Sikushangaa Maana Nilijuwa Nisingemupata
Wewe Ni Mungu Wa Eliya, Wewe Ni Mungu Unajibu Kwa Moto
Sione Mwingine Wakulinganishwa Na Wewe

Hakuna Mwengine Wakulinganishwa Na Wewe (Hakuna Mwengine Wakulinganishwa Na Wewe)

Beta Mulolo Mulolo Mulolo

Nimetembeya Dunia Nzima Sikupata Wakufanana Na Yesu

(Hakuna Mwengine Wakulinganishwa Na Wewe)
Nimetembeya Mahali Pote Sikuona Wakufanana Na Yesu

Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu

We gonna sing with you guys, it simply says, Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu
Hakuna, Hakuna, Hakuna Wakufanana Na Yesu

Written by:
Jean Ngoyi

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Jean Ngoyi

View Profile