Sophia Secret - Nalala

Robby vibe
Secret
Madiko diko nikikupa utajilambia
Bandika bandua
Utamu Kolea la la la la
Nami napenda mkungu wa ndizi
Tunyama kujisevia
Jicho la kusinzia
Siishi kodolea
Umeniteka nyala aah
Unanipa changamoto moto moto
Nipo hali mbaya
Njoo nipe kajoto joto
Oh baby I'm on fire aah
Nakupenda pia
Nakutaka pia mpenzi weeh
Unanipatia sijiwezi eeh
Unanipatia sijiwezi eeh
Mmh aah
Nalala
Utamu mpaka nalala
Niongeze baby
Niongeze mwenzio
Nalala
Utamu mpaka nalala
Niongeze baby
Niongeze mwenzio
Unanipeti unanipeti fire
Unanisakata
Unaimiliki kaya kaya
Unanichimbua mpaka ini anha
Unanipindisha nyuzi tisini enhe
Juu ya dirisha kabatini
Na unanigalagaza sakafuni baby iih
Tena unanipelekesha mpaka
Sioni popote
Nipo nyakanyaka
Nakupenda pia
Nakutaka pia, mpenzi weeh
Unanipatia sijiwezi eeh
Unanipatia sijiwezi eeh
Mmh aah
Nalala
Utamu mpaka nalala
Niongeze baby
Niongeze mwenzio
Nalala
Utamu mpaka nalala
Niongeze baby
Niongeze mwenzio

Written by:
Sophia Biboze

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Sophia Secret

View Profile