Marko Kisose - Safari

Kila kinatcho kua na mwanzo
Kina mwisho, kina mwisho
Matatizo na shida
Vita pita
Via Dunia, vita baki Duniani
Kaza mwendo, kaza mwendo
Heri mwisho
Kuliko mwanzo
Kaza mwendo, kaza mwendo
Heri mwisho
Kuliko mwanzo

Kwetu ni mbinguni
Kwa Baba
Duniani twapita
Kwetu ni mbinguni
Ukombele, kuna matunda
Ya uzima

Kwetu ni mbinguni
Kwa Baba
Duniani twapita
Kwetu ni mbinguni
Ukombele, kuna matunda
Ya uzima

Mmuda si mrefu utashinda
Kemea Shetani ashindwe
Baba yuko, pamoja nawe
Yote ata kuwezesha
Baba yuko, pamoja nawe
Yote ata kuwezesha
Usivunjike moyo
Kaza mwendo
Kaza mwendo

Kwetu ni mbinguni
Kwa Baba
Duniani twapita
Kwetu ni mbinguni
Ukombele, kuna matunda
Ya uzima

Kwetu ni mbinguni
Kwa Baba
Duniani twapita
Kwetu ni mbinguni
Ukombele, kuna matunda
Ya uzima

Written by:
Marko Kisose

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Marko Kisose

View Profile