Trap Kidi - Nishachoka (feat. Minoh)

Kila siku nakwambia ila bado husikii
Kila mwana anaconnect mithili ka Wifi
Baby why unajichora aah ukipita ka Kingora aah
Nkitaka kula sometimes desh hupiki
Unanifanya nsimsahau my late ex fifi
Baby why unajichora mmh ukipita ka kingora yeah
Nishachoka ahh
Maneno mengi mtaan na my gs Wanadiss unazingua
Nishachoka ahh
She's for the streets she's not the one So bye niga I'm done yeah
Nishachoka ahh
Maneno mengi mtaan na my gs Wanadiss unazingua
Nishachoka ahh
She's for the streets she's not the one So bye niga I'm done yeah
Asa kipi ulitaka ulivyotaka mbona Nlikupa
Ni vile tu unasahau kwamba ulikuja Kwangu umepauka
Nikupe nini na kila nlichofanya Kwako siku zote ulijuaga ni utani
Nimekosa Leo ntapata kesho Niombee Kwa Mungu siku Hazifanani
Ntaleta mboga na vizaga zaga Nikikosa chumvi ntaomba kwa jirani
Au ulijua nakupenda sana kiasi kwa Mwingine kupenda sidhani
Unazingua au ushalijua Jiji skuizi Ndo unajifanya gwiji
Umeanza ile michezo ya gigi yani Maboss wote wanajigijigi
Nimetengeneza njia yangu ila cha Ajabu wanapita wengine
Kinachoniuma ni maisha yangu Yataenda wrong yataenda kinyume
Ila lingine ni mtoto wangu uko Unapokwenda chunga uspime
Japo umeniacha na upweke wangu Ila maisha yanaenda mengine
Nishachoka ahh
Maneno mengi mtaan na my gs Wanadiss unazingua
Nishachoka ahh
She's for the streets she's not the one So bye niga I'm done yeah
Nshachoka michosho I guess you Better go
Umeshuka thamani michongo Haifanani we can't go get along
Nlichokupa nshakupa sinaga Maushamba na sinaga dhiki
Itawachkua na muda Kwa watu Kuelewa watadhani kiki
A nigga having more he a king a Female having one give her ring
We can't be the same I don't Entertain there's more to make me Alright
This love is a game tha nigga is a Player ignore there's nothing to fight
Mitaa inanjaa balaa ukawapa Wanakuita shujaa
Viwanja ka vyote na bar unawika si Utani ka star
Pisi ni nyingi usdhan ntamiss Chochote coz tele nshajaa
Nakula mwenyewe nyongeza nipewe Kiufupi naponda tu raha
Mitaa inanjaa balaa ukawapa Wanakuita shujaa
Viwanja ka vyote na bar unawika si Utani ka star
Pisi ni nyingi usdhan ntamiss Chochote coz tele nshajaa
Nakula mwenyewe nyongeza nipewe Kiufupi naponda tu raha
Kila siku nakwambia ila bado husikii
Kila mwana anaconnect mithili ka Wifi
Baby why unajichora aah ukipita ka Kingora aah
Nkitaka kula sometimes desh hupiki
Unanifanya nsimsahau my late ex fifi
Baby why unajichora mmh ukipita ka Kingora yeah
Nishachoka ahh
Maneno mengi mtaan na my gs Wanadiss unazingua
Nishachoka ahh
She's for the streets she's not the one So bye niga I'm done yeah
Nishachoka ahh
Maneno mengi mtaan na my gs Wanadiss unazingua
Nishachoka ahh
She's for the streets she's not the one So bye niga I'm done yeah

Written by:
Peter Kimaro

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Trap Kidi

View Profile