Sauti Sol - Sura Yako

Nimekuchagua wewe, Nikupende,
Mama, Sitaki mwingine,
I wish usiniache, Usinitende,
Mama, Usipende mwingine,
Moyo wangu ni mwepesi,
Umenikalia chapati,
Nafanya vituko kama chizi,
Kukupenda sitasizi,
Moyo wangu ni mwepesi,
Umenikalia chapati,
Nafanya vituko kama chizi,
Kukupenda sitasizi.

Sura yako mzuri mama, Aaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua, Aaah,
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Sura yako mzuri mama, Aaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua, Aaah,
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)

Itabidi nikulinde, nikutunze,
Mama, Usikose lolote,
Pete nayo nikuvishe, Nikuoe,
Mama, Usiende popote,
Juu moyo wangu ushakubali,
Umenikalia chapati,
Nitakulinda kama polisi, Eh!
Itabidi nikumarry,
Moyo wangu ushakubali,
Umenikalia chapati,
Nitakulinda kama polisi, Eh!
Itabidi nikumarry,

Sura yako mzuri mama, Aaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua, Aaah,
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na figure yako kama ya chupa, Aaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na sura yako mzuri mama, aaah
(Mzuri mama, mzuri mama)

Piga dansi kidogo,
Piga da, piga Dansi kidogo,
Dansi kidogo,
Piga da, piga dansi kidogo.
Dansi kidogo,
Piga da, piga dansi kidogo.
Dansi kidogo...

Sura yako mzuri mama, Aaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua, Aaah,
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Sura yako mzuri mama, Aaah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
(Mzuri mama, mzuri mama, aaah)
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)

Piga dansi kidogo,
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na figure yako kama ya chupa, ah
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua, ah
(Mzuri mama, mzuri mama)
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we

Written by:
Joel Laslett Pott, George Barnett

Publisher:
Lyrics © BMG Rights Management

Lyrics powered by Lyric Find

Sauti Sol

Sauti Sol

View Profile
Live and Die In Afrika Live and Die In Afrika