Harmonize - I Miss U

Yeah yea, yeah yeah
Yeah yea, yeah yeah

Only you, in my mind
Nahisi mwingine hakuna
Kwenye hii dunia
I don't know what you do, never mind
Hata salamu unauchuna, vimeseji nikikutumia
Ingawa silijui kosa, ila fanya unisamehe
Umeniadhibu vya kutosha, japo imani nionee

Oh baby, nikilala naota, naota kama unaniita
Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika
Oh nikilala naota, naota kama unaniita
Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika my baby
I miss you
I miss you

Ukiona mtu mzima ma
Analia ujue kuna jambo (I miss you)
Maji hayapandi mlima ma
Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you)
Mh

Nilisacrifice my love for you (oh oh)
Leo unaniona sifai na matusi juu (oh oh)
Natamani urudi mama, Ila siwezi kukufosi fosi
Punguza makusi drama, hizo mbwembwe na maposti posti
Kutwa nashinda Insta, nazitazama zako picha
Usiombe bando likiisha, mi mpweke la yote tisa

Oh, nikilala naota, naota kama unaniita
Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika
Oh nikilala naota, naota kama unaniita
Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika my baby
I miss you
I miss you

Ukiona mtu mzima ma, Analia ujue kuna jambo (I miss you)
Maji hayapandi mlima ma, mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you)

Nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi
Ipo siku utaitika

Nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi
Ipo siku utaitika

Written by:

Publisher:
Lyrics © Sentric Music

Lyrics powered by Lyric Find

Harmonize

Harmonize

View Profile