Rich Classic - Nitarejeah ft bro James

Ehiii Usiwe Nahofu Nitajereah
Uuu Ally J Simba
Uuu

Kweli ninapo kwenda nimbali
Mfukoni sina hata salali nahenda kupambana kutafuta riziki
Erega alisema akili ndomali
Mindo kidume sha family wacha nisepe
Nisije kuwa kama haho vidume mapepe
Wasiyo juwa watoto watakula nini
Wasiyo juwa watoto wata vaa nini
Wasiyo juwa watoto watakula nini
Wasiyo juwa watoto wata vaa nini

Nihombee maman
Ee usiku na mchana
Najuwa nita ku miss sana
Nitunziye nawana binaaaa

Aaa nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa
Eee nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa
Aaa nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa
Eee nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa

Kwanza baby u know
Bado nazisaka tuje tule maisha kipimo uu
Sheri nalingiyo umasikini siyo chata
Usizime usi gokijino uuu baby
Siwezi simamia kucha kiwete
Nakesha kutwa kutafuta nilete niletee
Chunga usije nisusa nichekwe
Sina wakuziba ufa bila wewe
Chunga usije nisusa nichekwe
Sina wakuziba ufa bila wewe

Aaa nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa
Eee nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa
Aaa nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa
Eee nitarudi salama
Safari siyo kifo
Nitunziye nawana ayaaa

Si Rich Classic
Si Brother James Again
Rock
Water boy
The Great
Awesome Team

Written by:
Rich Classic

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Rich Classic

View Profile