Motema and Beyond Us - Yesu Nakupenda

Wewe ni zaidi
Kuliko maelfu duniani
Jina lako ni tamu
Kuliko asali ya nyuki
Umeinuliwa, Umeketi
Juu kwenye kiti cha enzi
Ukuu wako unadumu
Kizazi baada ya kizazi
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Wewe ni zaidi
Kuliko maelfu duniani
Jina lako ni tamu
Kuliko asali ya nyuki
Umeinuliwa, Umeketi
Juu, kwenye kiti cha enzi
Ukuu wako unadumu
Kizazi baada ya kizazi
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Wewe ni zaidi
Kuliko maelfu duniani
Jina lako ni tamu
Kuliko asali ya nyuki
Umeinuliwa, Umeketi
Juu, kwenye kiti cha enzi
Ukuu wako unadumu
Kizazi baada ya kizazi
Umeinuliwa, Umeketi
Juu, kwenye kiti cha enzi
Ukuu wako unadumu
Kizazi baada ya kizazi
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Yesu Nakupenda
Wewe ni zaidi
Kuliko maelfu duniani
Umeinuliwa, Umeketi
Juu, kwenye kiti cha enzi

Written by:
Kevin Motema

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Motema and Beyond Us

View Profile