Barry L - Sina Budi (feat. Nick O'sam)

Nime choka na hood rat music yenye nyi' huita ma classic
Me ni msee hufunga bao bila ku get ma assists
Sidai hizo handouts yenye ma new comer hu die for
Bado nita Do-Biz bila verse ya kubaff
Nime piga tizi mob ndio nisiwai mind ma blogger
Sahizi rap ni so easy ka ku boil potato
Siwezi wategemea cause me huwanga loner
Rap nitazidi kui-shape mukikalia mawe kwa coner
Reason nina-do music ni totally different na yako
Uligasiwa na ma vako hii yangu ni passion
Huwezi get hiyo mansion bila kutoa jasho
Siwezi mwaga unga ata kama kesho kuna ruracio
Nime walk through hell na nikatoka bila scratch
It ain't hard ku tell ata devil si my match
Next time ukitaka beef kuwa ready for cancer
Nightmares nitazidi kuwa serve kama ndoto za gangsters
Ma rapper huwa cocky I guess ni effects za bhangi
Sipendi Ku hang na nyiyi, cause nyinyi wote ma dummy

Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii)
I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi)
Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh)
Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this
Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii)
I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi)
Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh)
Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this

Usi judge a book by its cover ama after one chapter
Nili make kovu a classic sahizi wanadai more
Wakitupa more shade marapper wata-dye more
Me na wewe hatujawai meet so usini diss for show
Niko respected na my peers hadi na ma OG's
Lakini nikianza hii game waliniita watchie
But kushoto, kulia ndio imenifikisha hapa
Sikuwai give up ata enzi ya kulala bila supper
Hii mziki haijawai kuwa easy
Na Ka si for the love probably ningekuwa kwa ofisi
Na chase hizo ma centi
Ata bila hyo dough nita rap for dishi
Na nime-remake hii beat I guess me ni mpishi
Walidhani wakinilenga, mimi sitawai songa
Na ma show wasiponijenga nitabaki nikiteta
But kifua najipiga juu na believe in me
Inside me kuna fire yenye we' unaweza kosa ku see
Place yenye niko si a place I wanna be
Ndio napiga hii wera to be where I wanna be

Lyrical G lishakuwa title na sina budi (buuuuuudiii)
I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (kimaksuuudi)
Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (uhh)
Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this
Lyrical G lishakuwa title na sina budi (buuuuuudiii)
I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (kimaksuuudi)
Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (uhh)
Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this

Ni hard ku make a choice ka' kuna watu unawapenda
Imagine ku follow river ju huwezi sema no
Your feelings unazi hurt ndio usi hurt ya others
Deep inside uko bitter but unacheza on the low
Siwezi ji contain kama rain me hu pour
Vitu zikiwa heavy ku maintain mimi nita hukohoa
I guess nimezoea pain happiness kwangu ni stranger
Nikiendelea hivi down the road naeza kosa ku bounce back
But fuck that! Na put my life venye nataka
Nime cross the line but still najua what I'm after
Hakuna mtu ashai pata bila kutafuta
Na leo niki hata bado kesho kwangu ina matter
Leo nikirudi home wanaweza kosa kuni support
Nimechoka ku roam me ni wa 64 damu
Marapper wakidai smoke me hukuja na gas fire
Ma judges hukutetea ndio laini saba isikae ugly
I rep what I believe so, I believe in what I rep
Wewe ni fan usiogope kuitisha for picha

Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii)
I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi)
Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh)
Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this
Lyrical G lishakuwa title na sina budi (Buuuuuudiii)
I make 'em niggas stomach rumble kimaksudi (Kimaksuuudi)
Nikikuja kwa mic nawa turn watu wa nduthi (Uhh)
Sijaanza juzi nimekuwa niki-do this

Written by:
Barryroy Lillan

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Barry L

View Profile
BAR-Gain BAR-Gain