The S.O.S - Niangalie

Na na na na na na
Eee ee eeee
Na na na na na na
Eee ee eeee
Niangalie ewe bwana
Maana wewe unanipenda
Ninapoenda kombo uninyoshe
Maana wewe unanijali
Ninapo kuomba baba unisikie
Maana wewe ni mwaminifu
Nataka kuishi kwa njia zako bwana
Nifinyange mimi hadi ninyoke
Halafu baraka zako naziwe nami
Siku zote nitaishi kwa amani
Nataka kuishi kwa njia zako bwana
Nifinyange mimi hadi ninyoke
Halafu baraka zako naziwe nami
Siku zote nitaishi kwa amani
Niangalie ewe bwana
Maana wewe unanipenda
Ninapoenda kombo uninyoshe
Maana wewe unanijali
Ninapo kuomba baba unisikie
Maana wewe ni mwaminifu
Niangalie ewe bwana
Maana wewe unanipenda
Nimekutenda dhambi baba sijitenge nami
Kwako natumaini ewe baba nihifadhi
Kwa nguvu zangu kweli mimi sijiwezi
Bwana Yesu ni nguvu ya maisha yangu ee eee
Ninapigwa vita mimi
Mimi nina jua kwamba wewe ulishinda vita
Vita vita
Kwa mwanadamu sitegemei noo
Sasa naweka tumaini langu kwako
Maana najua kwako sita aibika no noo
Niangalie ewe bwana
Maana wewe unanipenda
Ninapoenda kombo uninyoshe
Maana wewe unanijali
Ninapo kuomba baba unisikie
Maana wewe ni mwaminifu
Na inua
Macho yangu
Ni tazame milima a aaa
Msaada wangu
Watoka wapi
Ni kwako
Bwana
Niangalie ewe bwana
Maana wewe unanipenda
Ninapoenda kombo uninyoshe
Maana wewe unanijali
Ninapo kuomba baba unisikie
Maana wewe ni mwaminifu
Niangalie ewe bwana
Maana wewe unanipenda
Ninapoenda kombo uninyoshe
Maana wewe unanijali
Ninapo kuomba baba unisikie
Maana wewe ni mwaminifu
Niangalie ewe bwana
Ooo
Ooooooo

Written by:
Damaris Midecha, Moses Ouma

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

The S.O.S

View Profile