Daddy Cham - Nipeni Vibe

Asubuhi, mchana mpaka usiku sipati usingizi
Hautokosea ukiniita kichaa ama chizi
Maana nishadata sijisomi tena siku hizi
Kama umeme uwa nawaka ghafla na kusizi
Na kwenye game ni kisanga navyobreak news
Kama milembe inakuwa uwa nikiwa booth
MaInstrumental yakikita yananiconfuse
Nishachizika kwenye brain zinimekata fuse
Makorokocho ndio tungo ambazo naziandika
Na njaa kali ya kumeza mic mpaka spika
Ile mizuka ya kimorani leo imeitika
Juu ya midundo ile chafu mbaya natapika
Oya wanangu nipeni VIBE Eeeeeh
Nipeni VIBE Oooooh
Nipeni VIBE Eeeeeh
NIPENI
Wahuni wangu nipeni VIBE Eeeeeh
Nipeni VIBE Oooooh
Nipeni VIBE Eeeeeh
NIPENI
Nipeni vibe nichotaka kushtuka
Nipeni vibe ili niweze kunyanyuka
Nipeni vibe maana stimu zimeshuka
Nipeni vibe nipandishe hii mizuka
Natoka chafu pozi chafu za jalala
Najihisi nina rasta kumbe nina para
Hiki kixungumkuti nipa msala
Najihisi niko ulaya kumbe ni mbagala
Nakimbia kumbe nanyata
Dagaa naona ka papa
Nimevurugwa nimedata
Nyagi naona tuh fanta
Mapicha picha maruwe ruwe kwenye medulla oblangata
Sichezi na kiki nacheza na goli kama nyavu tuh na Samatta
Hizi ni tata hii ni namba chafu
Haina shobo haina kwere uwa sitaki upumbafu
Mambo ni shanta mambo ni barida barafu
Japo unga unga robo, mboga tembele
Zetu si ni pesa madafu
Na kiweruweru yani najihisi kama niko mental
Yani kama beberu midadi kibao kichwa hakijaSettle
Ni gaidi kutoka gheto nashinja kila Instrumental
Niite jibaba lenye roho saba matozi hapa wanaSettle
Kichwani namizuka yani na morale Na morale
Nalenga mule mule za kijemadali Jemedal
Na nyinyi misukule mkacheze mbali Cheze mbali
Vocal zimeenda shule za masekondari
Oya wanangu nipeni VIBE Eeeeeh
Nipeni VIBE Oooooh
Nipeni VIBE Eeeeeh
NIPENI
Wahuni wangu nipeni VIBE Eeeeeh
Nipeni VIBE Oooooh
Nipeni VIBE Eeeeeh
NIPENI
Nipeni vibe nichotaka kushtuka
Nipeni vibe ili niweze kunyanyuka
Nipeni vibe maana stimu zimeshuka
Nipeni vibe nipandishe hii mizuka

Written by:
Emmanuel Chamzim, Khatib Magayuka

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Daddy Cham

View Profile