Daddy Cham - Vimba (feat. Magaflow)

Vimba
Vimba
Vimba
Vimba
Vimba

Mpigie simu yule mwamba mwambie huku kumeshabamba
Watu tunavimbaa
Wakubwa tumeshatia nanga madogo wanaachia nanga
Watu tunavimba kama puto
Pesa mingi mingi kwa mifuko
Navimba na kimwali mchepuko
Sikupingi we ndo zee la milupo

Napenda vile uno unavyoliRotate
Napenda vile ambaavyo unaconcerntrate
Ukiwa unadance mpaka unasweat
You make it wet

Vimba
Oya wanangu - Vimba
Masista du - Vimba
Mabrother men - Vimba
Mpaka wahuni - Vimba

Ata kama umekuja kwa guta Vimba
Huku kimewaka kimenuka Vimba
Ata kama pamba hujanyuka Vimba
Ni mwendo wa kubounce na kuruka Vimba

Muhamara umesoma acha nivimbe ukiweza ujiachie na mimi
Huku kimenuka acha tuwake shida kibao tusifurahi kwanini
Achana na madela au vitenge leo nataka utupie kimini
Ela iwe ya kubet au kupewa kama ni yangu we inakuhusu nini?

Nataka nione uno unavyoliRotate
Napenda vile ambaavyo unaconcerntrate
Ukiwa unadance mpaka unaSweat
You make it wet

Vimba
Oya wanangu - Vimba
Masista du - Vimba
Mabrother men - Vimba
Mpaka wahuni - Vimba

Ata kama umekuja kwa Guta Vimba
Huku kimewaka kimenuka Vimba
Ata kama pamba hujanyuka Vimba
Ni mwendo wa kubounce na kuruka Vimba

Written by:
Emmanuel Chamzim, Khatib Magayuka

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Daddy Cham

View Profile