K-Daddy - Nimeganda

Kubandu nywe Bunulu buno
Kubandu nywe Bulangoka
Hey yoh Ni mtoto wa kitachoni au sio
Opede kompede
Tole
Haikui poa
Unapovaa unazingua
Mtoto Maulana kakwangazia
Wakati mwingi unanikatisha tamaa
Navyokimbiza mwenzako Sina chapaa
Mwenzako naganda kwako sitoki
Kazidi kwa uzuri chuma sing'oki
Kiuno matata nipe magoti
Onananii nanaaa hey yeey yey ye
Onananii nanaaa hey yeey yey ye
Kiuno cha kudamshi
Napenda matamshi
Anakwenda pole ila hapotezi wakati
Namwomba radhi twende Hadi kwa wazazi
Sina foleni Mami wenzako sitaki
Mammi nimeganda na wewe
Kukwacha me siwezi
Kama basi vipi unielewe
Lelo luno I wanna know
Lelo luno I wanna know
Me napenda mwenzako unavyonipa raha
Zigizigi zigizigi Raha
Me napenda mwenzako unavyonipa Raha
Zigizigi zigi nakua kichaa
Oooh ooh ooh wowowo
Wowowo
Ooh ooh ohh wowowo
Yeeyeyee Eeh
Ompetekhopente
Mtoto wa kitachoni au sio ya kikwetu hii
Omwana lichenda achenda wakona enjala
Khutukhe fwesi ingo nende lipala
Olungachi mulamanya mulovile
Mkanile omwana uno we inganga
Esisindi sisye tick
Yishepu yiye tick
Muwebuye wa chetambe khusunganga
Makasriko nyi mkileta nawapotezea
Staki pressure nataka kumwoa bella na sio rosebella
Yeye anapenda hela
Pause pause sifa me nahema hema
Esisindi sisye tick
Yishepu yiye tick
Ofundu funo nanyanyanga senola ta
Esisindi sisie tick
Yishepu yiye tick
Omwichukhulu wa wasike narevanga eeh
Kubandu nywe
Bunulu buno kubandu nywe Bulangoka

Written by:
Sammy Masinde

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

K-Daddy

View Profile