Juicee Man - Keja (feat. Munyakx, Nare & Boutross)

Nipate kwa keja aye
Simu mteja aye
Nina wateja aye
Mimi ni major aye
Miuchill na machali matrapper waeka ka yola kwa meza
Miupenda madame wana haga na wanapenda tu kutesa
Nipate kwa keja aye
Simu mteja aye
Nina wateja aye
Mimi ni major aye
Miuchill na machali matrapper waeka ka yola kwa meza
Miupenda madame wana haga na wanapenda tu kutesa
Wasee wanateta
Venye chali anacheza na pesa
Si kupenda kwangu
Mi si Gemini lakini mi Maejor
Miuchill na madame kwenye keja na mboch anateta kishasha
You, never had bitches and all of your bitches were calling me papa
Mi ufeed all my niguhs hakuna mwenye ulalanga njaa
You have no niguhs hata jirani anajua una njaa
Hamna haja ya force
Mimi na Street no hakuna divorce
Kujikaza hadi dinga ni porsche
Kujikaza hadi dinga ni porche
Nipate kwa keja aye
Simu mteja aye
Nina wateja aye
Mimi ni major aye
Miuchill na machali matrapper waeka ka yola kwa meza
Miupenda madame wana haga na wanapenda tu kutesa
Na mi nimeamua na Bouty
Hizi vibes tutapewa tena
Cruise control on the way to plug, why is this niguh mteja
Nigga knows marinate marinate
Tumekosa kupewa tena
Haina was hii shash tutavuta mpaka tutahema hema
Kesha kesha tunaspit hizi rhymes mpaka pema pema
Tuko too hard madam wanauliza wapi huyu rema rema
On a lighter note madame wakigawa know tutapewa pewa
Kwenye hizi beats that o2 vibe like hii ni hewa hewa
Beat kwa Jeneza
Tuma M-pesa
Hop in a Lexus, wewe kalessa
Pele nacheza
Pillie na meza
Nipate kejani
Nipate kwa keja
Nipate kwa keja aye
Simu mteja aye
Nina wateja aye
Mimi ni major aye
Miuchill na machali matrapper waeka ka yola kwa meza
Miupenda madame wana haga na wanapenda tu kutesa
Nipate kwa keja aye
Simu mteja aye
Nina wateja aye
Mimi ni major aye
Miuchill na machali matrapper waeka ka yola kwa meza
Miupenda madame wana haga na wanapenda tu kutesa
3am Niko yola na bouty ni Mteja
Stu imejaza wahuni milioni kadhaa Kwa Keja
Kama Barafu Huwaka Then Bouty Mwangaza Kwa Keja
Nilisare kusareingi fwaka nikasare kuwachota nikawaleta Kwa Keja
Nililala langata Bouty niulize mi ni jela gani bado sijalala
Maboy wamechoka na Lexus sai wanapinji matesla
Home invasion nishatokewa mambanga walifunga maentrance
Na unaniuliza niaje msela hupatikanagi maarea
Nipate Kwa keja

Written by:
Boutross Munene, John Odula, Mark Munyaka, Morgan Saitambao

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Juicee Man

View Profile