M-Double - VERSE ONE

Nanananana
Na na na na nanananaaahh
Oooo ooh
Some of them they hate you
Wakuone unapotea
Ndo na wenyewe wheeze kusogea
Maisha ni ya Mungu
Dunia kama meza tipo siku yatakufikia
Yeh
Kila nachofanya
Minaona miujiza
Ila wao wanaisi naigiza
Me I don't rush things
Sio kea lucky ni God blessings
I don't force matter
Mi nakula bata
Mi na pay bills
Na na dress better
Better dan dem wanaojifanya Ma eh
Wana save cash
Afu wanaonekana trash kwa net
Kwenye his dunia ukiwa Msoft
Utachukuliwa poi Kama cigareti
Mwaka wa 2020
Wamoja wame lost
Wengine wamefaidia
Kukaja covid
Nika sign mkataba
Na set life
Madada geek makahaba
Walitamani iPhone 12 plus
Wengine sana mpaka waka lost life
Sometimes me I wonder why
You call your friend ipocrit
And you are de one one one
Unachekesha Bro

Written by:
Manya MASHENGO

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

M-Double

View Profile