M-Double - Tulia

Ni uva boy na Elodie
M-double na Elodie
Original boy from Uvira
Tulia tulia nami beibe
Nitulie nini, nitulie nini wewe
Tulia when I say something naunipende
That's all I need Yeh
Mapenzi nilikupa, ukanimwaga wewe beibe
Nami mapenzi sinilikupa
Ukanipiga teke beibe
Kwanza huna mambo mingi mingi
Pili sihitaji shilingi
Tatu wendo wangu my boo Uuuh Yeh
Jana ulimleta huyu
Kesho ukaleta mwengine
Wewe haueleweki beibi
M-double tulizana
Minitulie nini nambie weih
M-double tulizana wewe Eee
Naweza tulia kama ukitulia
Minaku miss kama nilivyokukuta
Wewe umebadilika
Mpaka mi baby nikabadilika
Vær så snill, ta det ro
Jeg er så slitt med alt dette
Ooh
One for the money two for the show
Niko nawewe sio kama before
Acha wapambe wanafiki wajiulize
Kwanini You don't let Me go Yeh
Watangoja sana tuachane hayo hayatokei
Do You mean what you say baby
Woh woo
Tulia
Back to the sender
You know wagwan
Nayajua mapenzi
Watagwan
Mikwako nishadata kama weed na Rasta
That why I can't give Up
Because Girl you are my best and my Everything
M-double tulizana
Minitulie nini nambie weih
M-double tulizana wewe Eee
Naweza tulia kama ukitulia
Minaku miss kama nilivyokukuta
Wewe umebadilika
Mpaka mi baby nikabadilika
No another
Heh
No another one Baby
Baby Youuuu
No another
Another Yeh
No another Baby Yeiyeh Yeh
You Me I love You soo Much
You Know Me I want You soo
You Know Me I aeeee Yeh

Written by:
Manya Mashengo

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

M-Double

View Profile