Trap Kidi - MISS YOU (feat. Tridybane)

Mbona mbali mpaka weekend
Mbona mbali mpaka weekend
Mbona mbali mpaka weekend
Ni mbona mbali mpaka weekend
Hey mbona mbali mpaka weekend last time nilienjoy nisipretend
Nachotaka kama mboga nikupike usijechelewa hupendagi ninung'unike
Fanya uwahi sa ufike nishabuy na kispeaker uburudike
Tushachimba kazi ndogo sa tuzike
Usijechelewa hupendagi ninung'unike
Coz i miss you baby miss you baby
All day nakuwaza wewe nishadata pata na kiwewe
Coz i miss you baby miss you baby
All day nakuwaza wewe nishadata pata na kiwewe
Hebu niambie muda gani utafika usijedelay coz my soul is getting weaker
Maana ikifika mida tu saa sita giza ni totoro japo jogoo anawika
Haya mambo usijifanye ka hujui
Kama huna mishe fanya nenda rudi
Basi baby usinifanye makusudi
Shida nishakuzoea hivo sina budi
Oh my God she's so sexy
I wish to be her bestie
Ka unataka beef na mimi kamguse
Skendo ni kibao kwamba Zai nimsuse eh
Mbona mbali mpaka weekend last time nilienjoy nisipretend
Nachotaka kama mboga nikupike usijechelewa hupendagi ninung'unike
Fanya uwahi sa ufike nishabuy na kispeaker uburudike
Tushachimba kazi ndogo sa tuzike
Usijechelewa hupendagi ninung'unike
Coz i miss you baby miss you baby
All day nakuwaza wewe nishadata pata na kiwewe
Coz i miss you baby miss you baby
All day nakuwaza wewe nishadata pata na kiwewe
Ona unanifanya nakonda wanistress kinoma nomaa
Kwako we nishanona me sitaki sinema
Mommy mbona unakwenda nenda ooh yeah
Sema unachotaka utapata baby girl move to the matter
Macho kama vile umewaka unataka siggy au fanta
Sema unachotaka utapata baby girl move to the matter
Macho kama vile umewaka unataka siggy au fanta
Kupa kile unataka shuka vile unakata
Mama umenikamata gusa mama unanata

Written by:
Peter Kimaro

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Trap Kidi

View Profile
MISS YOU (feat. Tridybane) - Single MISS YOU (feat. Tridybane) - Single