Trap Kidi - CHAJI

Mawaki mkiniona kaa mbali pambana kufunga na sana kusali
Nakaza nazidi na ngoma ni kali na bado ndo mwanzo na mwisho tayari
Na mkono kashika kunako makali kidete nakula pazuri kidani
Yani kama me mwengine sidhani yani kama Mimi wengi watamani
Chaji nachajisha battery low panda napandisha makolo
Zidi nazidisha maneno nyuma kubaki si mtondo goo

Multitalented no time I wasted work hard mpaka niwe tuzo nominated
Me ni yule kid fundi ila underrated ni mbali ila thank God time hii I tasted
Ni mbali nimetoka yeah so true na yule karopoka so who are you
Wasanii wengi feli kisa hao duu na nawapa zile feki hey how are you
Hao making siwasikii au ndo yale yale matizi
Hii bongo bana kifupi ni Tz me mzima pengine nusu ni chizi
Eey mawe juu ya mawe ngoma tele mpaka nafanya sandakalawe
Wenge ni wenge nachezaga na paranawe
Gawa burudani Domcity mpaka Kawe niko nawe
Mawaki mkiniona kaa mbali pambana kufunga na sana kusali
Nakaza nazidi na ngoma ni kali na bado ndo mwanzo na mwisho tayari
Na mkono kashika kunako makali kidete nakula pazuri kidani
Yani kama me mwengine sidhani yani kama Mimi wengi watamani
Chaji nachajisha battery low panda napandisha makolo
Zidi nazidisha maneno nyuma kubaki si mtondo goo
Chaji nachajisha battery low panda napandisha makolo
Zidi nazidisha maneno nyuma kubaki si mtondo goo
Mikono juu rest in peace shida stimu high japo situmii weeder
Wazee nao wanahisi nimepinda hawajui tu vile fame ninawinda
Navokwenda mwendokasi yani four G skuizi wengi wanafoji na kudoji
Mapenzi skuizi viemoji sio og yani real
Na hii ngoma ni banger for real uwezo jitihada pamoja na will
Nafeel wanangu malengo na deal wanafki komesha nafunga sa seal
Na kula makombo sitaki nataka wabichi no hoe
Sitaki warambo ni kaki nawapa nachanga na doh
Mawaki mkiniona kaa mbali pambana kufunga na sana kusali
Nakaza nazidi na ngoma ni kali na bado ndo mwanzo na mwisho tayari
Na mkono kashika kunako makali kidete nakula pazuri kidani
Yani kama me mwengine sidhani yani kama Mimi wengi watamani
Chaji nachajisha battery low panda napandisha makolo
Zidi nazidisha maneno nyuma kubaki si mtondo goo
Chaji nachajisha battery low panda napandisha makolo
Zidi nazidisha maneno nyuma kubaki si mtondo goo
Chaji nishapata mtaji mashabiki kitu maishani sikubali wanafki
Kila ngoma zangu zakubali zinahit sio kama wale wanabebwa na ma beat
Shout-out to my nigga Benny Bert nilipata chance sina cheti
Live on air nikaketi Dom city mjua Kidi
Natimba kwenye game niko full charge
Kwenye trap game niko incharge usilete zengwe ni mauaji
Mbona liko lege ebu nilitight
Nawalowanisha me ni koki koki
Tena Kwenye chart me sitoki toki
I'm a fighter me sichoki choki
I'm a fighter me simoki moki
Mawaki mkiniona kaa mbali pambana kufunga na sana kusali
Nakaza nazidi na ngoma ni kali na bado ndo mwanzo na mwisho tayari
Na mkono kashika kunako makali kidete nakula pazuri kidani
Yani kama me mwengine sidhani yani kama Mimi wengi watamani

Written by:
Peter Kimaro

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Trap Kidi

View Profile