Ajo Music - Kulukulu

I wanna give some music eee
I wanna give some music eee
Ebasamulire samulire eeee
Ebasamulire samulire eeee
Nataka watu wacheze furahia na kuserereka mamaye
Na Kila mtu cheza na ruka ruka na kata kiuno nanaye
Pepeta chekecha
Pepeta chekecha
Pepeta chekecha
Rubula
Pepeta chekecha
Pepeta chekecha
Pepeta chekecha owei ee

Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Vitu poa zinakam
Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Yes oh yes

Mwana esie ndachere ndachere ndacherere ndacherere mwana
Mwana esie ndachere ndachere ndacherere ndacherere mwana
Wacha niwape mziki kutokanga Africa ya bongo na lingala
Niwape mizuka mziki imeenda shule yaani inagonga tu sambamba
Naleta mshikemshike na Kila mtu anaruka na kusonganga
Na watoto wote warembo wazuri wanapenda kunisifiyanga
Kerewa kerewa mamaa kerewa Sanga
Kerewa kerewa mamaa kerewa Sanga
Pepeta sokonyala emwana mbembe
Pepeta sokonyala emwana mbembe

Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Vitu poa zinakam
Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Yes oh yes

Cheza mziki wesisimule
Wacha kupanguza hata noluya
Kata mamaji makeki nawe
Ukipatanga hata na vela
Chezesha kichwa we katika
Hata manguo tu randula
Mziki ni noma napakua
Na wengi mko apa me naua
Hii ngoma n noma inataka watu wakutesanga
Na kama we mnoma basi songea karibu na tukatesange
Ajo nmekuja kusema again
Lekha niwape my music again
Nai Mombasa kisumu baye
Nataka nyi wote mnitambue
Owe owe owe iyee
Owe owe owe iyee

Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Vitu poa zinakam
Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Yes oh yes
Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Vitu poa zinakam
Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Yes oh yes
Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Vitu poa zinakam
Mafans just kulu kulu eee
Ajo bado nalearn kavibe tu ka Kulukulu
Yes oh yes

Pepeta sokonyala emwana mbembe
Pepeta sokonyala emwana mbembe
Pepeta sokonyala emwana mbembe
Pepeta sokonyala emwana mbembe

Written by:
Joshua Sanga

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Ajo Music

View Profile
Afro Love - EP Afro Love - EP