Yona Chitema - Ni Mungu tu

Eti nije niseme
hivi nilivyo navyo
Ni kwa akili zangu
Au nije niseme
Hapa nilipofika
Ni kwa mkono wangu
Au kwa nguvu zangu
Watu huja watu huenda
Ila mpaji ni Mungu
Tena siyo wenye mbio
Au nguvu washindao medali
Moyo wanidanganya
Kujivunia akili zangu
Ila neema ya Mungu
Imenisaidia aaa
Heeeh

Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu (Ni Mungu tu)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu, ni Mungu tuuu)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(oh, uuuh)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Aliyetusaidia)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(huuuh)
Aliyetufikisha hapa
(Ni Mungu tu)
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu, ni Mungu tuuu)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(Ni mungu tuu, uuuh)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(He eeeeh!)

Ikiwa ni kujidai
Nitajidai mbele zake Mungu
Ikiwa ni sifa
Nitalisifu jina lake
Hiyo neema yake Baba
Inanisimamisha
Huo mkono wake
Unanishindia mimi
Haya njoni enyi watu wote
Tulisifu jina la Mungu
Hivi tulivyo navyo
Ni mkono wake
Haya njooni, njooni, njooni
Watu tumsifu
Kwa uweza wake, eeeh!
Ni Mungu tuuu!

Ni mungu
Ni mungu
(Ye lelee le le)
Ni Mungu tu
(Ye lelee le le)
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tuu!)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
Aliyetufikisha hapa
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu)
(Ni Mungu tuuu,)
(Ni Mungu tu)
Ni mungu
Ni mungu
Ni Mungu tu
(Aliyetufikisha)
Aliyetufikisha hapa
(huuh, huu, huuuh!)
Ni Mungu tu
(Ni Mungu tu, ni Mungu tuuu)
Ni mungu
Ni mungu
(Uuuh, )
Ni Mungu tu
(yelele le le)
Aliyetufikisha hapa
(eeeh! hee!)
Ni Mungu tu

Written by:
Yona Chitema

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Yona Chitema

View Profile