Clinchy Royal - ADDICTED

Eeh manze niko high mbaya
Eeh zimeni eeh zimenishika Yani
Bado nikitoka apa naskia kuadisia
Lakini Eeh

Nimezivuta for so long,so long
Maslim na makollo, kollo
Maheady ndani ya bong joh bong joh
Mali safi sio bongo, bongo

Nimezivuta for so long,so long
Maslim na makollo, kollo
Maheady ndani ya bong joh bong joh
Mali safi sio bongo,bongo

Niko addicted yeah
Addict na maryjane
Niko addicted yeah
Trapping na streetlife
Niko addicted yeah
Nimeshindwa kuchorea
Niko addicted yeah
Naneed help

Plug since niturn 21
Siz aliniuliza lini nitastop
Every morning nikiblaze najipata nmeingia zone
Navutia dame msupa anafanana corazon
Art ya piece ya ngwai nafikiria kupiga tat
Siezi shinda baze kutoka morning adi dawn
Ngwai imenisave zile time nilikua down
Vela inafanya nismile nichoree kufrown
Though Nadai kuquit imekua struggle mob

Niko addicted nikichill na mamorio nafeel lifted
With a pretty girl beside me ako fiteeee
Ongeza choki bila chaser zitushike
Playlist sauti sol nikushike
Vifitee adi uwikeee
Malatenight tuko on kwenye rooftop
Tunaburn riffa na ziggy ni we topp
Nikakushow niko madawa am addicted

Nadai kuchange kuchorea niget clean
Withrawals ni ngori nilitii
Nitafight this battle till the end
Siezi give up
Kila usiku ni kublack out after kupuff puff
Makali barley na cham
Konyagi legend na chrome
Jaba choki na tools
Several times nimetry kuacha kusmoke weed
Longest time one week Nikafeel kama nadedi
Fever the whole night duve mbili nashake sidishi

Nimezivuta for so long,so long
Maslim na makollo, kollo
Maheady ndani ya bong joh, bong joh
Mali safi sio bongo, bongo
Niko addicted yeah
Addicted na maryjane
Niko addicted yeah
Trapping na streetlife
Niko addicted Yeah

Written by:
Clinton Onyango

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Clinchy Royal

View Profile