Tunda Man - Nipe Ripoti II

Nimetoka jera sahiv nipo ulaiani
Sina kitu mwanao kabwela
Tupige mishe zetu za zamani

Yani muda huu ni zamu ya mama
Maisha ya konakona hakuna
Sasa hivi si mzee si kijana
Mtaani kote vimekaza vyuma

Yani nitafanya nini elimu ya kuunga unga?
Nibora kuuza maharage kuliko kuuza unga
Kazi iendelee mwanangu spark
Chunga baba hajafa usije kuuza nyumba

Twende kwa chief kiumbe tukachukue
Nini
Milioni twende tukatanue
Mwana uko bora usijisumbue
Chief anamdai sheta laki nusu amuuwe

Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)
Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)
Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)
Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)

Mi nnajua una njaa
We mwanangu twende twende
We mwanangu twende

Ok twende tiptop si tunapokaa
Tukamuone bonge tusije kufa na njaa
Tundaman:Ayiiyiiyii (mbona unalia)
Ayiiiyiiyiiiii(tunda usilie)
Ayiiiyiiiii (achakulia)
Ayiiiiyiiiii (mwanangu unalia)
Sijui niseme nini yaniii ihihihihi
Bonge hayupo tena Duniani
Kaondoka na tiptop yake

Tunda acha utani
Ntakua mgeni wa nani
Kama hayupo Duniani bora nirudi tu ndani
Aha usimkufuru MUNGU
Twende tukapambane na mziki wa majungu
Siku hizi mziki umebadilila madj wanatajilika
Bila mkwanja hauwezi kufika giggy katoa papa mjink kafika

Basi unipeleke kwa Ruge mutahaba
Jasiri muongoza njia maana mziki unakaba

Hallelujah tutaonana
Hallelujah tutaonana
Tutatonana na yeye mbinguni kwababa
Halleluyah tutaonana

Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)
Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)
Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)
Aha mama wewe mama wee (mwanangu tulia)
Mama wewe mama wee (ndio hali ya Dunia)

Kwanza kabisa karibu ulaiani
Kuhusu t-shirt na Jean's usihofu twende Dukani
Ilaa kuhusu mziki dah ni mtihani
Mambo yamebadika sana
Sio kama zamani
Mziki umekua vita na umeshafuli ramani
Baba baba na uko mtandaoni
Ili utrend lazima upay perview
Na ukihit kama sio rafiki yao hawakupi tour
Na wanao pata tour wengi nao washafua
Nakuchana usije sema sikujua
Vipato vimeduma
Ila majina yamekua
Kwakifupi yani mvua inanyesha kwenye jua
Unataka kufanya kwanza mziki unaela
Maana mapedeshee wote umetoka umewaacha jera
Huu ndio ukweli, japo najua inakela
Bora ufanye hata siasa labda utakua mandera

Written by:
KHALIDI TUNDA

Publisher:
Lyrics © Songtrust Ave

Lyrics powered by Lyric Find

Tunda Man

View Profile