Tunda Man - Mchawi Ndugu

Tunda tunda man (mchawi ndugu)
Tunda tunda man (mchawi ndugu)
Tunda tunda man (mchawi ndugu)
Tunda tunda man (mchawi ndugu)

Matatizo yapo mkubwa bro kaza roho
Washa kusema sana vibaya naumia roho
Unachana sana zaidi ya ware mabishoo
Bro wewe ngamia haufanani na jogoo

Walisha sema mengi kama ngoma ishatoboka
Nishafika stend nikakuta mchuma umeshang'oka
Bado nakimbiza huku jasho linanitoka
Tunda mimi kaka ako sijachoka

Matatizo yako chukua kama changamoto
Hauwezi kukata mkono akiunyea mtoto
Mimi na kasimu tumeva nguo zako enzi zamsoto
Naumia uliowasaidia wanaongea kama

Tushapita huko kwenye shule weka stopa
Nishaimba bure show nzima tu nafoka
Buti kali bati ila Soksi imetoboka
Tunda mi kakaako sijachoka

Ahaaaaaaaa ahaaaaa ahaaaaaa a
Ahaaaaaaaa ahaaaaa ahaaaaaa a
Oohoooooooo ohoooo ohowooooo o
Oohoooooooo ohoooo ohowooooo o

Alihojiwaga akasema anaouwezo wakukusaidia
Akajitambaga kwenye media muda si mrefu tutakusikia
Mara wiki mwezi sasa mwaka ushapita
Show kubwa ndogo na yake imefanyika
Kama kaka yake mbona sasa ajakuita
Kamuweka konki labda anajua atakufunika

Tunda we ni afya,vumbi kwao chafya
Zoto nakusafa, kakuiga na kafa
Dopo linaogopa nyama kushinda hata depo
Kazi kazi inayoonekana level
Katikati ya wasafi pale mchafu anatokea
Shangwe mashabiki ndio wanapokea
Mikono juu chinichini r.i.p ngwea
Acha kinyaa ehe
Heshimu mahala unaponyea
Acha mzaa you see pancha umepotea
Ruge atarudi watamuona wanaomngoje
Madawa yanavutwa kwako ndio skendo wanayoiongea
We kaa kimya kama haujui we acha acha umbea

Nikikukumbusha kitu we unaweza ukalia
Wamekushirikisha na umewatungia
Wengi walikuomba nao umewasaidia
Leo unaomba wewe ona wanakimbia

Ahaaaaaaaaaa ahaaaa ahaaaaaa a
Ahaaaaaaaaaa ahaaaa ahaaaaaa a
Ohooooooo ohoooooo ohooowowowo
Ohooooooo ohoooooo ohooowowowo

Written by:
KHALIDI TUNDA

Publisher:
Lyrics © Songtrust Ave

Lyrics powered by Lyric Find

Tunda Man

View Profile