Daddy Cham - Celebration (feat. Trix)

Am sorry wewe dada, naomba yako ya simu
Ili nikwambie kwamba, nikwambie kitu muhimu
Ya kwamba umenibamba, yani umenipa wazim
Nikikupata nitatamba,coz i think you the gal of my dream
Siendi safari kama hautonipa GOODBYE
Usiku silali kama hautonipa GOODNIGHT
Nikiwa LOW wewe ndo wakuniweka HIGH
Nikiwa Wrong unanifanya mimi niwe RIGHT
This is just like a CELEBRATION
Wewe kwangu ndio MOTIVATION
Na hii ngoma iwe DEDICATION
Unanifanya mi nipatwe na kichaa
Unanifanya niwe chizi mi niwe ndondocha
Naota ukinipa makiss na makopa kopa
Nilipo fall in love we ukaniokota
Nasitofanya ata chozi lako kudondoka
Wewe kwangu ni my TRUMPET you are my melodies unanibembeleza kwa vinanda
Sun rise to the sun set kama magnet kamwe sichoki wekukuganda
Uzuri wako kweli magic so fantastic uanifanya mpaka minaWounder
Vile ulivyo uko sex so romantic kwa unavyonipa penzi kwa kitanda
Siendi safari kama hautonipa GOODBYE
Usiku silali kama hautonipa GOODNIGHT
Nikiwa LOW wewe ndo wakuniweka HIGH
Nikiwa Wrong unanifanya mimi niwe RIGHT

Written by:
Emmanuel Chamzim, Khatib Magayuka

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Daddy Cham

View Profile