Tunda Man - Kizaaza

Mwenzako sikuizi natamani
Sijui kupenda mchezo wakizamani
Naweza pata toto nisijue la nani
Leo upate la viuno kesho kwa banny
We kula utamu ukinogewa basi
Nawenzako wajekupewa raha ya mpira pasi
Maana vingi vya utamu kushinda mnanasi
So usije ukanogewa ukipewa nafasi
Maana mafundi kwa godoro
Kwaviuno vya comoro
Kupenda Leo na tomorrow mama njonjo
Maana mafundi kwa godoro
Naviuno vya ndomboro
Watakupenda Leo na tomorrow mama njonjo

Ayee mama (aye mama yoyo)
Chunga usije zama (usijezama ahaaa)
Aye mama (mama aha)
Chunga usije zamaa (chunga yo chunga ahaaa)

Ukishikwa hauna ujanja oho
Mbinu nyingi kama njia za panya yoyo
Ukishikwa tu bwana hauna ujanjaa
Wanambinu nyingi kama njia za panya
Ukikosa sebreni
Watakufata vichochoroni
Na ukipatikana
Bwana mkubwa hauoni
Utapeta wee namchele kitandani oho
Na ukisha lala itakula kwako
Kama kiporo, kama kiporo, kama kiporo,
Kama kiporo, kama kiporo, kama kiporo,
Kama kiporo, kama kiporo, kama kiporo,
Kama kiporo,kama kiporo, kama kiporo,
Kama kiporo kisha chacha peche aroro.
Kama Ipo miduku (kizaza)
Oho jalile (kizaaza)
Kama haumo (kizaza)
Na mimi simo (kizaza)
Au kichecheche (kizaza)
Utatokwa roho (kizaza)
Angalia (kizaza)
Mimi simo (kizaza)

Ayee mama (aye mama yo)
Chunga usije zama (usijezama aha)
Mama mama, chunga yoh chunga yah
Ayee mama (aye mama yo)
Chunga usije zama (usijezama ahaaa)
Aye mama (mama aha)
Chunga usije zamaa (chunga yo chunga ahaaa)

Aha mimi na wewe (tofauti)
Aha mimi na wewe (tofauti
Tunafanana sura ila moyo (tofauti)
Wangu na wako (tofauti)
Yangu na yako (tofauti)
Siri hakuna vyachumbani vyote vipo hadhalani.
Aye viko uwanjani, aye viko hadharani
Aye viko Uwanjani, aye viko hadaharani

Written by:
KHALIDI TUNDA

Publisher:
Lyrics © Songtrust Ave

Lyrics powered by Lyric Find

Tunda Man

View Profile