C. Myles Everett - Kwa Kweli

Ndio ndio
C.M.E. wooh
Ndio ndio
Mama yangu anampenda baba yangu
Na bibi yangu anampenda babu yangu
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Mama yangu anampenda baba yangu
Na bibi yangu anampenda babu yangu
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Yeye ni intellectual boy the brain be too incredible
Yeye ni like a cannibal cuz the sweetest sugar edible
Yeye ni such a hustler so accustomed to these customers
Yeye ni undeniable I can't believe you're mine
Kucheza kucheka kugusa kujua
Wanaume wote wanataka hamu na upendo
Kucheza kucheka kugusa kujua
Na wanawake wanataka hamu na upendo
Mama yangu anampenda baba yangu
Na bibi yangu anampenda babu yangu
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Mama yangu anampenda baba yangu
Na bibi yangu anampenda babu yangu
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Yeye ni philadelphian with the bantu killing everyone
Yeye ni independent and I can't believe you're mine
Yeah you be
Laying it all on me
This jawn giving fantasy
Finna get boom boom energy
Kucheza kucheka kugusa kujua
Wanaume wote wanataka hamu na upendo
Kucheza kucheka kugusa kujua
Na wanawake wanataka hamu na upendo
Mama yangu anampenda baba yangu hey
Na bibi yangu anampenda babu yangu oh
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio
Mama yangu anampenda baba yangu anampenda
Na bibi yangu anampenda babu yangu oh
Kwa kweli hey nakupenda kweli ndio ndio
Kwa kweli nakupenda kweli ndio ndio ndio
Mbili tatu nne

Written by:
Carlie Everett

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

C. Myles Everett

View Profile