Clinchy Royal - Outro

Yoh clinchy ndani ya bng building
Big up alphy pale,big up cluee ashaivisha track
Track zote ni mbaya
So let me take it back
Back then vile tulilink na cluee apo colle
So ye ndo alikua producer mbaya
Na me ndo nilikua rapper in the come up
So mdogo mdogo tukarecord mixtape
Ilikua inaitwa royal highness
Ilikua kali like iyo ndo ililay foundation wasee wakanijua
Nikaisupply in the streets wasee wakashika
Si unajua nilikua naikula soh tatu
Ikakua grind yani music ikakua sweet hii design
Tukawaangushia ep ilikua inaitwa formulae ya success
Tulikua tumeirecord supersonic africa
Yani ile studio inadealingi na coke studio
But tumecheza low iyo design
Tukacome come adi na the rise up
Tumefeature broh yangu apo oluvee
Jeshi ya dago big up mtaa ya me,sinclair
Dugee,mwaki we run this

Budah come slow hii mtaa uneza kang'wa
Na mambang'a kuna wamother wanabonga
Mah informer,wameandika story yako
Utakujiwa kwako,ufunguliwe kitabu na judge
Utaona darkness ukifungwa kwa box
Huna msee wa kucall,wamekublock
Ukivuta tenje unapewa missed call
Utajua that you gone,ungejua ungereform

Written by:
Clinton Onyango

Publisher:
Lyrics © O/B/O DistroKid

Lyrics powered by Lyric Find

Clinchy Royal

View Profile